kazini

  1. JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 11,896 walioondolewa kazini kwa kughushi Vyeti walipwa Tsh. Bilioni 35.2

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliambia Bunge leo kuwa Fedha hizo zimelipwa kutoka katika Mifuko ya hifadhi ya Jamii ya NSSF na PSSSF ikiwa ni agizo la #RaisSamia kutaka wahusika walipwe stahiki zao. Fedha hizo ni sehemu ya michango ya Wafanyakazi 14,516 walioondolewa kwa kukosa sifa baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Umma huenda kazini kwa lengo la kupiga dili tu

    Habari! Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi. Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoka kazini kuwa saa tisa na nusu umepitwa na wakati

    Ni sheria zipi zinazosimamia saa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004, muda wa kazi Tanzania ni masaa nane na Kiwango cha juu cha muda wa kufanya kazi kwa siku kilichoelezwa na sheria ni masaa tisa (9) kwa siku. Pamoja na kutamkwa na sheria kuna kazi na ajira...
  5. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

    Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi. Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Kulala kazini nchini Japan sio kosa

    Hello 🤗 #UNAAMBIWA: Nchini Japan kulala ofisini kwa saa kadhaa baada ya kupiga kazi bado kumeendelea kutokuwa ni kosa la kufukuzwa kazi au Boss kuchukizwa. Mfanyakazi anayelala ofisini kwa muda mfupi kidogo huonekana kuwa ni Mfanyakazi hodari na alama ya ushindi kwa Boss kwamba amefanya kazi...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  13. JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  14. JamiiForums Tanzania Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

    Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023 Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
  15. JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye. Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki. Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa hebu saidieni kuelewesha Watendaji maana ya mafunzo kwa vitendo (internship)

    Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs). Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa waajiri wale wa uhakika. Vijana wanaochukuliwa Serikalini hata wanaotokea Taesa hawana chochote cha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kusifiwa ni jambo la asili, iwe nyumbani, kazini au kwenye siasa, na watu wanapaswa kuelewa hilo

    Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuwaondoa kazini Maafisa wa IEBC waliokataa ushindi wa Rais Ruto

    Bunge la Kitaifa limethibitisha kupokea mapingamizi 4 ya kuwafuta kazi Maafisa 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi waliodai Matokeo ya Urais hayakuwa halali. Makamu Mwenyekiti wa Tume, Juliana Cherera, na Makamishna Francis Wanderi, Justus Nyang’aya na Irene Masit walipinga matokeo yaliyotangazwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…