kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua cha muda mimi ni fundi sanifu umeme (Electrical Technician)

    Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima. Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam. Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
  2. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

    Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
  3. JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  4. JamiiForums Tanzania F2 haifanyi kazi katika dell laptop japo button haina shida yoyote

    Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje wakuu ili niingie kwenye bios setup? Lengo langu ni kuselect boot option iwe kwenye usb drive...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, walimu Agha Khan Mzizima Secondary School

    Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES.T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP / Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Sokowatch

    Sokowatch is transforming communities across Africa by revolutionizing access to essential goods and services. By connecting small shops to the digital economy, we fix inefficient supply chains and provide services that were previously unavailable. Sokowatch aims to provide everything a retailer...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi UNICEF

    Position: Chief Nutrition, (P-4), Dar es salaam, Tanzania #00007053 Job Number: 530550 | Vacancy Link Locations: Africa: Tanzania,Uni.Re Work Type : Fixed Term Appointment UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most disadvantaged children. To save their...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi INADES Formation Tanzania

    Job Title: Conservation Agriculture Coordinator Company: INADES Formation Tanzania Location: Tanzania State: Dodoma Jobs Job type: Full-Time Job category: Agricultural Jobs in Tanzania Main Purpose: Responsible for co-ordination and execution of socio-economic training activities in the fields...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPC Ltd

    Overview TPC Ltd is one of the fast growing sugar producing companies in Tanzania. The company is situated at the foot of Mount Kilimanjaro, 22kms south of Moshi Municipality. Applications are invited from energetic, proactive and dynamic Tanzanians to fill vacant positions at the Factory...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPHS

    1. Position: National Registries Lead - Health Information System Development, Project Management and Coordinated Job Summary The National Registries Lead will play a key role in leading enhancements and integration of national registries with other systems. They will be responsible for...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi The 2030 Water Resources Group (2030 WRG)

    Position: Country Coordinator Local Term Appointment (One Hunched and Fifty (150) days, Renewable) Location: Dar Es Salaam, Tanzania Hosted by the World Bank, the 2030 Water Resources Group (2030 WRG – www.2030wrg.org) is a public-private- civil society partnership that supports governments and...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ICAP

    Job no: 492769 Work type: Regular Full-Time Location: Tanzania – Kagera Categories: Program Management/Implementation/Support The Field Assistant supports day-to-day field implementation of a community-based HIV testing and prevention program targeting key and vulnerable populations (KVP). S/he...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya wiliya ya Ulanga

    MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III - NAFASI MOJA (I) SIFA ZA MWOMBAJI Awe na elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamazi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii, Hombolo Dodoma au Chuo chochote...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPC

    POST POSTAL OFFICER II – 46 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION TAXATION AND SOCIAL PROTECTION EMPLOYER TANZANIA POSTS CORPORATION TPC APPLICATION TIMELINE: 2020-03-07 2020-03-21 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES To check counter’s imprest for stamps, cash and other saleable...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Vodacom

    1. Position EHOD: Dar-Coast & Lake(2 posts) Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And that’s a huge...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Kama umehitimu shahada na huna kazi, fanya mambo haya matano

    Karibu rafiki kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto inayokuzuia kufikia mafanikio makubwa uliyopanga kufikia. Hakuna mtu asiye na changamoto, wale unaowaona wamefanikiwa sana, siyo kwamba hawana changamoto, ila wanakabiliana nazo na kuzivuka. Hivyo usiombe kutokuwa na changamoto, bali...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kutumia nguvu

    Kutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi yoyote. Kama kuna mwenye connection na miradi ya barabara, maji nk, aniunganishe nipo tayari kuchimba hata mitaro. Nipo Arusha.
  19. JamiiForums Tanzania Harry na Meghan wako London kumalizia majukumu yao ya mwisho ya kazi za Kifalme.

    Meghan ameamua kuvaa gauni la blue bahari lilitengenezwa na kampuni ya mitindo ya Victoria Beckham gharama za gauni ni £950. Hii ilikua hatua yake ya kumaliza ugomvi wake na Victoria. David na Victoria walikuwa ni baadhi ya wageni walioalikwa kwenye harusi ya Harry na Meghan. Baada ya hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VETA

    The Vocational Education and Training Authority (VETA) is an autonomous Government Agency established by the Act of Parliament No. 1 of 1994. VETA is responsible for regulating, coordinating, financing and providing Vocational Education and Training in Tanzania. VETA is an equal opportunity...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…