F2 haifanyi kazi katika dell laptop japo button haina shida yoyote

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje wakuu ili niingie kwenye bios setup?

Lengo langu ni kuselect boot option iwe kwenye usb drive badala ya kwenye internal disk au cd/dvd rom.

Pia nataka kubadili kutoka uefi kwenda legacy au legacy kwenda uefi
 
Hiyo keyboard ime expire, siyo tu F2, baada ya muda hata nyingine pia zitaacha kufanya kazi. Nunua keyboard nyingine tofauti na hapo utapoteza muda mwingi na hautofanikiwa. Kuna swali lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom