kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uzoefu wa mauzo na uhasibu anatafuta kazi

    Habari wakuu, (Moderators samahani,natumia link) Nasaidia kumsambazia ndugu yangu mwenye diploma ya uhasibu na post graduate ya marketing, akiwa amefanya kazi hizi kwa miaka 5, anatafuta kazi mpya baada ya mwajiri wa mwanzo kurudi kwao nje ya nchi na kuhamisha uwekezaji.Kama unayo nafasi au...
  2. JamiiForums Tanzania Maofisa wa UN wasimamishwa kazi kwa kufanya ngono kwenye gari la ofisi

    Umoja wa Mataifa (UN) umewapeleka likizo bila malipo wafanyakazi wake wawili ambao wanakabiliwa na kashfa ya kufanya vitendo vya ngono katika gari ya kazini nchini Israel. Maafisa hao walipigwa picha ya video katika gari ambayo ilikuwa ina nembo ya UN- katika mji wa Tel Aviv katika mtaa wa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
  4. JamiiForums Tanzania Kusafirisha wanafunzi ni kazi ya nani?

    Wanafunzi wetu nchini ni kundi kubwa la wananchi wenye mahitaji maalumu. Hapa nchini daladala tu ndizo zilizopewa jukumu la kuwasafirisha kwa bei pungufu ya sh. 200. Hii Ni tofauti na biashara nyingine kama ya stationery, uniforms, bodaboda, chips, soda, nk ambao wao huwa wanawauzia wanafunzi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Andrew aliyetia nia ya kumrithi mchungaji Msigwa Iringa mjini asimamishwa kazi

    Katika hali isiyoeleweka kama ni figisu za mchungaji Msigwa ama la, Mwalimu Andrew Palagio aliyetia nia kugombea ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya Chadema amesimamishwa kazi. Andrew ni mwalimu katika shule ya St Dominic Savio katika manispaa ya Iringa. Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  6. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Taasisi za kifedha za kimataifa zinataka kufanya kazi na Rais Magufuli, zimempigia kampeni bila kificho

    World Bank wameikopesha Tanzania mabillioni ya shilingi na wao furaha yao ni kuona wanalipwa hela zao kama zilivyo Taasisi zingine za fedha ambazo zingependa wateja walipaji wazuri, imeelezwa kuwa tangu Rais Magufuli aingie ameonyesha nidhamu ya hali ya juu sana kwenye ulipaji wa madeni ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

    Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma. === Updates: Rais Magufuli anarudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Makao Makuu ya chama, Dodoma. Hadi sasa ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi

    Nina degree ya Education kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, certificate ya Research and Data Analysis chuo kikuu cha SAUTI, certificate ya Administration and Management chuo kikuu cha SAUT, experience three years in teaching. Namba zangu ni 0768752056 na 0673650746
  9. JamiiForums Tanzania Deputy Chief of Party (DCOP) at United States Agency for International Development (USAID)

    Deputy Chief of Party (DCOP) Location: Dar Es Salaam, Tanzania Position Category: Direct hire, paid in US Deadline Date: 07/07/2020 Description Overview: The Global Health Supply Chain–Technical Assistance–Tanzania (GHSC-TA-TZ) program, supported by the United States Agency for International...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi The Desert Locust Control Organization for Eastern Africa

    The Desert Locust Control Organization for Eastern Africa (DLCO-EA) is a Regional Organization established by an International Convention signed by the Governments of Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Somalia, South Sudan, Sudan, Tanzania and Uganda. Our mandate is to control Migratory Pests...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Norwegian Refugee Council

    Education Programme Development Manager- Tanzania Region East Africa & Yemen, Norwegian Refugee Council The purpose of the Education Programme Development Manager is to be responsible to design, develop and implement Education projects in Tanzania. This position is open to both Citizens of...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya wanaoacha kazi huacha kutokana na sababu ya visa vya mabosi wao

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka shirika la kazi ulimwenguni ILO imebainika kuwa asilimia kubwa ya waajiriwa wanaoziacha kazi zao walikoajiriwa huacha kazi huwa sababu halisi ni 'maboss' wao. Tunaambiwa kuwa 75% ya waajiriwa anaojiuzulu nafasi zao katika ajira ni wale wenye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Mambo ni moto Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Rais Magufuli mimi si lolote si chochote nitaendelea kukutii na kutangaza kazi zako!

    Kumekucha uchaguzi mkuu 2020 Waziri wa Tamisemi Jaffo amesema Rais Magufuli hana sababu ya kwenda Kisarawe kufanya kampeni kwa sababu kazi zake ni kampeni tosha. Jaffo amesema yeye si lolote si chochote lakini Rais Magufuli alimteua na kumkabidhi kwa maaskofu na viongozi wa dini wamuombee na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship/ kazi

    Mimi ni gradute wa bachelor degree of business Administration in marketing... natafuta internship au kazi kama customer care, sales officer au marketing officer..mwenye connection au yeyote atakayeweza kunisaidia kwenye hili tafadhali..kwa sasa napatikana dar.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

    Habari zenu nyote, Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi. Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii...
  17. JamiiForums Tanzania TAKUKURU yafanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya viongozi na watumishi

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya viongozi na watumishi wa taasisi hiyo. Mabadiliko hayo yamehusisha watumishi 6 wa TAKUKURU, watano kati yao wakitokea kwatika vituo vya kazi jijini Arusha. ==== Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupapambana na...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri jamani, nimepewa taarifa binti yangu wa kazi ni mjamzito

    Waungwana wa Jf, Nimetoka mkoa ninaoishi nikasafiri mkoa mwingine kwa ajili ya mapumziko na kuweka akili sawa. Nyumbani nikimuacha binti wa kazi ambae nimekaa naye kwa muda wa mwaka mmoja sasa, ni binti mchapakazi, na asiye na kiburi na pia ni msafi sana, shida yake kubwa ilikuwa akiwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Graphics Designer..

    Naitwa NICKSON AIVAN, Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Afisa Mipango Miji asimamishwa kazi kwa kushindwa kutenda haki kwa Wananchi

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini Patrobasi Katambi ametangaza kumsimamisha kazi,Hadson Magomba,ambaye yupo kitengo cha mipango miji katika jiji la Dodoma kwa kushindwa kutenda haki kwa wananchi. Katambi ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko yaliyotolewa na Mdala Mazengo wakati wa mkutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…