kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana msijidanganye; Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa. Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  3. JamiiForums Tanzania Fatma Karume afurumushwa IMMMA Advocates

  4. 2

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

    Habarini ndugu zangu, Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
  5. JamiiForums Tanzania China yatoa mchango mkubwa na kushiriki katika kazi mbalimbali za UM

    Katika miaka 49 iliyopita tangu China irejeshewe kiti chake halali kwenye Umoja wa Mataifa mwaka1971, imekuwa ikitoa msaada na mchango mkubwa na kuwa mshiriki hai kwenye shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa. China imedumisha madhumuni na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kudumisha...
  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda, NEC, Chamwino na Mvumi

  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmashauri ya Hai

  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmshauri ya Jiji la Mwanza

  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi za Muda NEC Halmashauri ya Bukoba

  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda Halmashauri ya jiji la Arusha

  12. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu katika Masomo ya Fizikia na Kemia

    Naitwa Mwl. Paulo Yamola Masanja Ni mhitimu wa shahada ya Ualimu wa sayansi katika masomo ya Physics na Chemistry. Lengo kuu ni kuomba nafasi ya kazi ya kufundisha kama Mwalimu katika sekondari yenye uhitaji. Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, napatikana kupitia 0767582599 Email...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kupita Kigoma, Zitto afanya kazi ya safisha safisha!

    Baada ya Dkt. Magufuli kupita mkoani Kigoma na kumwaga sera zake. Kisha kesho yake akafuatia Lissu aliyekwenda kung'oa magugu na kupanda ngano yake Siku iliyofuata, Ikawa ni zamu ya Zitto kupita Kigoma na kung'oang'oa magugu zaidi na kwa kufanya hivyo indirectly akapalilia ngano iliyopandwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Wadada mnaovaa vizuri na hamna kazi ya maana hapa mjini nimewavulia miwani

    Kuna jirani yangu hapa anazidi kurefusha mjengo tu, nadhani ni hizi hela zaTASAF ni mrembo balaa huwa na muona kila siku jioni anatoka ila sijajua ni anakazi gani
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla

    Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi.
  16. JamiiForums Tanzania ‘Lobbying’ ni kazi muhimu ya kibunge ambayo Wabunge wa CHADEMA waliishindwa

    Moja ya kazi muhimu sana ya Mbunge ndani ya bunge ni kufanya lobbying yaani kushawishi ili mradi au maendeleo flani yafike jimboni mwake na sio ulalamishi. Katika hili wabunge wengi wa upinzani walifeli sana tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma. Wabunge wote wa Chadema waliopita walionesha...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kuwapa wanawake pesa ni kuwaendekeza ili wasifanye kazi

    Habari za leo wakuu. Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za kujimudu kimaisha. Wao wanachowaza ni kuvaa mawigi, kukuza mahips, wakati huo huo hivyo vitu ni...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna msamaha wa kibali cha kazi (work permit exemption) kwa mgeni aliyeolewa Tanzania?

    Ninatanguliza heshima na shukurani. Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi? Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata. Asante.
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kapasha Hajji Kapasha - Tabora Kaskazini hatujapata Mbunge makini wa kutatua changamoto zetu, nichagueni Oktoba 28 nipige kazi

    TABORA KASKAZINI HATUJAPATA MBUNGE MAKINI WA KUTATUA CHANGAMOTO ZETU, NICHAGUENI OCTOBA 28 NIPIGE KAZI "KAPASHA HAJJI KAPASHA" Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha amesema tabora kaskazini tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu hatujapata mbunge makini wa kutuwakilisha...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe. Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…