Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

jembe_jembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
214
Reaction score
81
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.

Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.

Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya muda.

Majukumu :-

1. Kupika
2. Kuosha vyombo
3. Kufua
4. Kufanya usafi wa ndani.

Mawasiliano: 0719 203 118 au njoo chamber kwa maswali zaidi.
 
Mkuu mtu mzm vp utaitaj au ndo watoto kunamtu mzm hapa home anaitaj

from mudi kidato
 
Dah, ila tuwe fair sometimes. Mtu akae kwako full time, kupiga hizo job then una mpa 80k?

Wakati waajiliwa wakizidisha masaaa mawili tu kazini, kelele nyingi, na kudai over time.

Kwa nia njema tu wazee tuweni fair kwa hawa wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakula kunywa kulala na kukaa bure, akiumwa namtibia pia.
 
Job description insema kufua, kuosha vyombo, kupika na kufanya usafi wa ndani. Nadhani hapo kuna kazi kibao ambaxo hujaainisha mkuu bora ungeiweka tu iwe general.
 
Orodhesha majukumu vizuri
Unaposema akae na mama yako kivipi, hajimudu kabisa?
Sijaona ukigusia kufagia na kudeki, hatofanya hizo kazi?
Vp kuchota maji na kuogesha watoto, hamna?

Au ndio baadae unamwambia "yaani hata kukamua ng'ombe maziwa hukamui, basi ondoka"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, ila tuwe fair sometimes. Mtu akae kwako full time, kupiga hizo job then una mpa 80k?

Wakati waajiliwa wakizidisha masaaa mawili tu kazini, kelele nyingi, na kudai over time.

Kwa nia njema tu wazee tuweni fair kwa hawa wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anakula kwangu bure, matibabu nagharamia. 80 inamtosha sana. Unasuggest walipwe kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom