kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

    Abdulazizi Abood (CCM) amepitishwa kama mgombea pekee katika Jimbo hilo baada ya wagombea wa upinzani kukatwa kwasababu ya makosa yaliyobainika kwenye ujazaji wa fomu Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini amewafutilia mbali wagombea wote wa vyama vya upinzani akiwemo Devotha Minja wa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  4. JamiiForums Tanzania Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

  5. JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

    Together TunawakilishaHome Waliorusha Mawe kwenye mkutano wa Lissu wakamatwa Jeshi la Polisi mkoani kilimanjaro limewakata watuhumiwa 12 wanaodaiwa kufanya vurugu za kushambulia kwa mawe, mkutano wa mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu Wilayani Hai Mkoani humo wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Duniani kote huwa vigumu wanaharakati kushika dola sababu huwa hawawezi kufanya kazi na kuiva na makundi yote katika jamii ikiwemo Tanzania

    Ukiwa mfuatiliaji wa wanadiasa washika dola duniani kote ni vigumu mno kwa wanaharakati kushika dola sababu huwa hawana uwezo kabisa wa ku mobilize makundi yote katika jamii yswapende na yawaunge mkono kuwapa dola Makundi hayo Ni Kama viongozi wa kiserikali, mahakama,taasisi za kidini,vyombo...
  8. JamiiForums Tanzania "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
  9. JamiiForums Tanzania Azam TV Satellite yenu Eutelsat 7A ºE haifanya kazi

    Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi Sirro, Mahakama na Tume ya Uchaguzi kazi kwenu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Pamoja na yote kwa hali ya amani inayoendelea kuwapo, itakuwa ni kukosa uelewa kutompa pongezi binafsi afande IGP Simon Sirro. Hii zaidi ikiwa kwa jinsi alivyo lidhibiti jeshi la polisi vilivyo tangia kuwasili kwa bwana Tundu Lissu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya saloon ya kike Sinza Africasana

    Habari, Natafuta msichana wa kusuka nywele katika saloon yangu iliyopo sinza Africasanaa... anatakiwa awe na ujuzi wa kusuka mitindo yote vizurii. Mawasiliano 0718443924
  12. JamiiForums Tanzania Kampeni ya "Piga kazi, Boresha Makazi" yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza

    Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu ya Senzo kuacha kazi Simba S. C. hizi hapa

    Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa. Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya jina Omary na umahiri katika kazi ya Ualimu

    Katika shule zote ambazo nimesoma, mwalimu Bora na mahiri kuliko wote his/her name will always be TEACHER OMARY. HER? Kivipi? Her surname is Omary au anatumia jina la mume wake ambae anaitwa OMARY. Akina OMARY huwa ni waalimu wazuri Sana. Is it only me au na wewe umewahi kukutana na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kutoka Kanisani hadi CHADEMA na sasa CCM akielekea bungeni ili kazi iendelee!

    Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe. Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Siwafundishi kazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi ila mkilifanya hili mtaondoa lawama nyingi

    Mapema kabisa tayari jinamizi lakuaanza kuchafua Tume ya uchaguzi kushindwa simamia wajibu wake vizuri limeanza onekana. Tayari kuna Mgombea ubunge na mwingine Diwani ambao ni halali kulalamika kuchukuliwa fomu zao kwa watu wasiojulikana. Kwa upande wangu naona ni makosa makubwa hasa kwa...
  18. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, nashauri mboreshe App ya CHADEMA DIGITAL, kwani function ya uploading ya saini na picha haifanyi kazi

    Ujumbe huu uwafikie kitengo cha IT cha CHADEMA. Kama nilivyoandika siku najiunga na JamiiForums ni kuwa navutiwa na chama chenu, pia mgombea wenu kwa sababu ya sera zenu za kiliberali zinazohimiza uhuru wa fikra, ubunifu, haki za binadamu, demokrasia, diplomasia, biashara na soko huria, na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Kazi tu ni CCM, Kazi na Bata ni ACT-Wazalendo na Kazi na Uhuru ni CHADEMA

    Tupate Maoni, tujitambue, tujuane 1. Hapa Kazi Tu (CCM) 2. Kazi na Bata (ACT) 3. Kazi na Uhuru (CHADEMA) Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini. Wewe Ukowapi katika hizo?
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juhudi za kuamsha reli ya Longonot -- Malaba zaanza kazi

    Mwendo ni ule ule, ukizubaa yatakupita mengi maana ukigeuza kichwa huku kinaibuka hiki, ukiangalia kule kinachipuka kingine, yaani pembeni, nyuma, mbele miradi inapepea kwa kasi isiyo ya kawaida, huu ndio uchumi wa kati wa kweli. ========= Kenya Railways has now turned attention to the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…