kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

    Habari wadau, Kama kichwa kinavyojieleza; najua kuna wababe wapo maofisini hawajui interview ni nini. Hebu watupe siri walifanya fanyaje mpaka wakaaminika na boss wakapita bila kupigwa. Amini usiamini hawa watu duniani wapo wengi sana. 😁😁😁😁😁
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mliobahatika kuomba kazi Home Contruction Company na kupata

    Heshima kwenu wanabodi. Muda huu katika kuperuzi peruzi huku mtandaoni nimekutana na sponsored ads kwa kampuni inayoitwa Home contruction. Inasema ina miaka mitano hapa nchini. Ila binafsi ndio nimekutana nayo. Imetoa nafasi za kazi kwa fani mbali mbali. Kwa nafsi yangu nikasema ngoja nikapply...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaosukuma walemavu wa viungo kwenye baiskeli kuomba msaada, ni vyema hiyo nguvu mkaitumia kufanya kazi ili muweze kuwasaidia kwa uhakika hao walemavu

    Kwanza niwapongeze kwa moyo wenu wa kujitoa katika kuwasaidia watu wasiojiweza (walemavu wa viungo) ambapo huwa mnawasukuma kwenye maeneo mbali mbali ili basi walau waweze kupata msaada wa chochote kitu ili maisha yaende, na hapa simsemi mtu vibaya, maana hujafa hujaumbika. Ila mimi nilikuwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za kibunge hujibiwa kibunge, tumwachie Spika Ndugai amalizane na Bunge la EU na sisi wengine tuchape kazi

    Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote. Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje. Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Wajumbe tusaidiane mwenye connection ya kazi au internship ya ualimu wa English na Kiswahili

    Habari wadau..!! Mambo yamekuwa magumu maana wife anatafuta nafasi ya internship au kazi ya kufundisha masomo ya lugha kwa DsM. Mwenye connection ya kibabe tuyajenge ,maana mjini hapa kama hauna connection hata kwenye msiba unaweza usile. Nawaombeni wadau tusaidiane kwenye hili jamani,maana...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kufunguliwa Dashbord kuna vitu havifanyi kazi

    Wandugu habari za Usiku Hii ni Gari mpya Nissan Nilipeleka gari kufanyiwa Interior Design ikiwemo na dashbord Ila imerudi Taa ya Airbag inablink tuu, nimeuliza nikaambiwa kwa kua iliguswa itazima yenyewe, nimebaki nimeduwaa 2. Gari ilikua na system kwamba kama hujatoa handbrake basi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  8. JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi za nyumbani

    Habari zenu wanajukwaa . Direct kwenye maada bila kuwachosha. Ni nahitaji Mdada Wa kazi za ndani. Nyumba haina mototo mdogo. Yaani mdogo kabisa yuko fomu kwani. Kazi ni za kawaida za nyumbani. Ina baba, mama, watoto wapo watatu, mkubwa yupo chuo, anayemfuata yupo kidato cha tano. Nahitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa nyumba na mashine za umeme (electrical techinician) naomba kazi

    Habari ndg zangu wana JF, NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi ichunghuzeni kampuni ya mabasi ya Shabiby

    NI Kampuni yenye jina kubwa na ni konge ktk huduma za usafirishaji hapa Nchini, mmiliki wake ni mbunge wa GAIRO na ni kiongozi anayeheshimika. Nasukumwa kuandika hili kwa matukio ya uonevu anayowafanyia WAFANYAKAZI WAKE. Wako wengi wanafanya kazi katika kampuni hii...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jamii Forums yasifiwa kufanya kazi kwa weledi

    Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao. Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mimi nina degree ya lab technician ila nimeomba kazi sehemu nyingi sana nimekosa. Naomba unisaidie kupata kazi yeyote nitafanya ila iwe halali. Nipo na hali mbaya sana wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji, Halmashauri ya Mji wa Kasulu - Kigoma

  14. JamiiForums Tanzania Afisa LATRA aliemtishia dereva lori panga asimamishwa kazi (+video)

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imemsimamisha kazi Afisa wake kutoka Mkoa wa Lindi ambaye video yake imesambaa mtandaoni akimshikia silaha aina ya panga dereva wa lori lenye namba ya usajili T412 DNN kilichotokea tarehe 11/11/2020. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais ililenga kukataza wateuliwa na watendaji kuacha kuanza kutafuta urais wafanye kazi na hatanii

    Raisi akifikia muhula wake wa pili kulikuwa na mazoea ya wabunge na mawaziri kuanza kampeni mitandaoni nk na kutwa kushindana kuunda mitandao ya kujenga makundi ya kampeni ya kuutaka uraisi badala ya kufanya kazi Raisi Hilo kaonya watu wafanye kazi na ninavyomjua hatanii he mean business...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

    Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni. Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na imefanya kazi kwa mda mfupi tu na tumerudi kulekule kwenye manual. Serikali inajitahidi lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  18. JamiiForums Tanzania Dhima ya TBC katika kazi ya elimu kwa umma: Mbona Festus Makerubi anatumia Roho Mtakatifu kulijingisha Taifa?

    Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa TBC, Festus Makerubi, amerudia mara nne maneno ambayo meseji yake ya msingi inawakilishwa na maneno...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…