kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Tangazo La Kazi : Nafasi za Kumwaga.

    Wakuu. Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo. 1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150. 2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55 Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March. Changamkieni Fursa. Pitia hapa kwa maelezo zaidi. www.portalajira.go.tz
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalum jinsi ya kupata kazi miradi mikubwa kama Bwawa la Nyerere, Bomba la mafuta, Standard Gauge n.k

    Habari zenu wanabodi! Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo. Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi kweli kweli hizi partnership hizi! Adobe na Microsoft why?

    Mimi ni mtumiaji wa VS code na Brackets editor, lakini huwa naona Brackets ni nzuri sana, yaani kuna mguso flani nikiwa naitumia especially napocheza na UI dah! kutoisupport hii kitu ni mawazo mabovu, hizi partnership hizi!, aiseh adobe umeharibu sana hapa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Procurement/Marketing and Sales, nina uzoefu wa miaka mitano

    Habari wana JF, Nakuja kwenu kuleta maombi yangu, ninatafuta kazi, nina Bachelor ya Procurement, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye sector ya Logistics Management. Nina uwezo wa kufanya marketing na sales kwa lugha ya Kiingereza kwa ufasaha, niko vizuri kwenye negotiation za bei na mikataba, nna...
  5. JamiiForums Tanzania Utoaji unavyofanya kazi katika ulimwengu wa roho

    Naomba uzi huu usihusishwe na Dini yoyote ile na wala usihamishwe na kupeleka kwenye jukwaa la Imani kwa sababu kuu mbili zifuatazo:- (i) Utoaji ni suala la asili ya uumbaji, kila mtu anacho cha kutoa kwa mwingine. (ii) Mtu yeyote anaweza kuwa mtoaji au kujifunza utoaji bila kujali imani yake...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, familia, ukoo au kabila likiendelea kuwekeza kwenye elimu kwa lengo la kazi, basi mbeleni kuna anguko kubwa

    Sote ni mashahidi wadau. Zamani familia au ukoo au kabila likikazania elimu kwa lengo la kuoata mafanikio kupitia elimu njia ilikuwa imenyooka kabisa. Kuna hata makabila fani akili za darasani ziliwabeba kweli na kurundikana kwenye vitengo kwasbababu walikuwa na vyeti na sifa. Ila kwa hali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

    Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc. Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
  9. JamiiForums Tanzania Menu hii ya mamlaka ya maji haifanyi kazi *152*00#

    Nimejaribu kupata bili yangu ya maji kwa menu ya mamlaka ya maji siku ya pili leo lakini hawaja nitumie sijui tatizo ni nini.
  10. JamiiForums Tanzania Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  11. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

    Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini. Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu. Natafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Anakotupeleka Rais Magufuli ni kuzuri; Serikali itakuwa na uwezo wa kumlipa hela kila asiye na kazi

    Wengi hushangaa wakisikia mtu asiye na kazi nchi zilizoendelea kuwa hulipwa posho kila mwezi na serikali Siri yake ndogo tu ni kuwa miradi mikubwa ya maendeleo mila pesa nyingi kama mabarabara, hospitali, Shule, njia za reli, umeme, maji nk yote ilishaisha kujengwa. Hivyo serikali zingine...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  15. JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  16. JamiiForums Tanzania MPISHI ANATAFUTA KAZI

    Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi. Wasiliana nami 0776727788 AU 0787823817.
  17. JamiiForums Tanzania Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

    Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii mambo yamebadilika maana pesa ya serikali inatolewa macho na mtu huwezi kuidokoa hovyo hovyo. Leo hii...
  18. JamiiForums Tanzania Namna mwili unavyokuwa gereza la mwanadamu

    Katika vitu vinavyomkwamisha mwanadamu kujielewa yeye ni nani? Yupo kwa kusudi gani?, ana uwezo gani? na ni kwa nini anafanya anayoyafanya ni mipaka ya mwili wake inayotegemea na milango ya fahamu. Tukiulizwa maswali aghalabu tunajibu ndani ya mpaka wa muda na mahali "space and time" mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…