Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu
Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC
Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
Najaribu kujiuliza tu wakuu.
Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.
Sasa katika maongezi na dodoso...
Wanadai hujaongeza posho yao miaka 10 sasa vilevile posho yao ya maji na umeme imegomewa wizarani. Mh.Rais mwenye nchi ni wewe malalamiko haya wameyawasilisha bungeni mara nyingi na yamepelekwa sehemu husika lkn imeshindikana.
Kila la kheri mh.Rais
-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa.
usipotekeleza maelekezo hata kama ni...
Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate.
Nina changamoto ya usikivu hafifu.
Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo.
Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
Kazi gani unayo (Software issues) unahitaji msaada? Nikusaidie.
blog issues
website issues
softwares issues (Windows 10,11)
social media management
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Ugonile,
Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu.
Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza.
NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa.
AVAILABLE POSITIONS...
Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika!
Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low)
Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo!
UBONGO WA BINADAMU
Kwa...
Wana jf anani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Nipo na swali nyie machawa hasa mjiangushao juu ya majukwaa kwa mamziki ya kijinga, tz imekua na wanamziki wengi sana ,mpaka sasa hakuna mwanamziki hapa tz amevunja record yao kwa tunzi labda maokoto tu.
Sasa sikilia Samia na...
FREELANCERS
Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma.
Umri miaka 20 - 30.
Elimu kidato cha nne - kuendelea.
Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu )
Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions.
Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo.
Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji.
Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
Habari zenu,
Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini mpaka sas sijafanikiwa kupata kazi hivyo naombeni msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.