kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mshana Jr

    Maoni ya wana JF juu ya nembo ya TUNATIKI yafanyiwa kazi na CCM

    Pamoja na tofauti za kimtazamo juu ya siasa za Tanganyika haina maana ya kwamba unapoona upande pinzani kuna jambo unaweza kushauri .. Tafadhali fanya Ushauri huwa ushauri si shuruti.. Mshauriwa ana wajibu wa kuuchukua ama kuuacha This time around nimefurahi kuona ccm wakichukua ushauri wetu...
  2. ELI COHEN

    USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  3. S

    Natafuta kazi, njaa itaniua

    Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
  4. Knock life

    Hivi mzazi ukiwa una uwezo unaweza kuruhusu mwanao ajiunge na kazi za majeshi ?

    Naomba tujadili hii hoja. All I know people join in military because had no better option in life . Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa interest zake
  5. Tech Max

    Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
  6. Waufukweni

    Auckland City kukipiga na Bayern Munich bila Kikosi kamili, baadhi ya Wachezaji wamekataa kujiunga na timu kutokana na kazi zao

    Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
  7. Dalton elijah

    HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  8. T

    Israel wanataka tu Roho ya Ayatollah Khamenei

    Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei. Je, ni kwani? Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha...
  9. USSR

    BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  10. FRJ255

    NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

    Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  11. The Burning Spear

    Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

    Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana. Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
  12. U

    Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  13. youngkato

    Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  14. FirstClass

    Kazi zenye changamoto ya kutoboa

    Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana.. Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta. Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa...
  15. D4wn

    App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

    Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani. App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa...
  16. T

    HIVI MASHABIKI WA YANGA WANAFANYA KAZI SA NGAPI?

    Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
  17. K

    "Nalifanyia Kazi Jambo Hili"

    Kama ni kweli maneno hayo yamesemwa na Rais Samia; kama yalivyo wasilishwa na mtangazaji Salim Kikeke: Maneno yenyewe ni haya: "Nalifanyia kazi jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja." Salim kayaandika maneno hayo yakiwa sehemu ya maongezi yake kwa njia ya simu na...
  18. kingphisher

    Nimerudi tena kuomba kazi

    Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu. Msinichoke lakini. Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...
  19. Mhaya

    Yanga Yatishia Kujitoa Kwenye Ligi Mwakani endapo Matakwa yao yasipofanyiwa kazi

    https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
  20. kingphisher

    Natafuta kazi; nina bachelor ya Business Information Technology

    Wakuu habari za muda huu. nimekuwa nikitafuta kazi kwa udi na uvumba, jasho na da..., ila sijafanikiwa kupata hata hivyo. nina bachelor ya Business Information Technology, nikiwa nimejikita upande wa networking pamoja na programming (PHP/LARAVEL). kwa yeyote anayeweza kunisaidia katika hili...
Back
Top Bottom