kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Holota

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Wakuu naomba kuuliza Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?
  2. aise

    JamiiForums Tanzania Pale ninaposhinda nyumbani halafu Sina kazi ya kufanya

    Mimi huyo Pale nimeshinda mtaani halafu mikono imezoea kuchezea cement, najenga chochote tu 🤣 +255624254690
  3. Holota

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ruben Amorim afutwa kazi Manchester United!

    Manchester United imefuta kazi ya meneja wake, Ruben Amorim, hatua iliyofuata matokeo mabaya ya timu katika michezo ya hivi karibuni. Uamuzi huu umefanywa na klabu asubuhi ya leo, Januari 5, 2026, mara baada ya mlalamiko wa Ruben Amorim jana kwa kukosoa Uongozi wa Old Trafford baada ya sare ya...
  5. DonDonald

    JamiiForums Tanzania Manchester United yamfukuza kazi Kocha Amorim kwa kuwasema ‘mabosi’ vibaya

    Club ya Manchester United imetangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Amorim Hatua hiyo imekuja baada ya kikao kilichofanyika leo asubuhi kati ya uongozi na kocha huyo ====== Manchester United imefuta kocha mkuu Ruben Amorim, baada ya kupewa kibarua hicho Novemba 2024. Amorim aliiongoza...
  6. canular

    JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa juu)

    Jina la Mungu lenye herufi nane. Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת Katika lugha ya asili. Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika Urithi. Kutokuharibika. Nguvu. Ushindi. Kuona uso wa Mungu. Neema. Ufalme. Furaha. Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
  7. monotheist

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya security officer/guard

    Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha kama kuna yeyote anaweza kunisaidia...
  8. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote tu

    Mwenye kazi yeyote tupeane connection wakuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya stationery

    Habari, Mimi ni mdada natafuta kazi ya stationery. Nina miaka 26, nina utaalamu na uzoefu mkubwa wa kazi zote za Stationery na mauzo. Pia, nina ujuzi wa Graphic Design na nina ujuzi wa kutumia mashine ya Heat Press Sublimation kuprint mugs, chupa, na T-shirts. Naweza kutengeneza picha mbao na...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wanaogopa kufanya kazi kampuni ya Asas?

    Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS. Kwanini?
  11. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Nikipenda huwa nakaba hadi penati hakuna kupumua

    Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano. Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else, Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi hizi za kazi zinaenda kupotea kuelekea mwaka 2030

    Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya 2026! Hii ni thread yangu ya kwanza mwaka huu na hivyo nimeona nianze kwa kuangalizia sekta ya ajira na ukuaji wa teknolojia na kinachoendelea kutokea kuelekea mwaka 2030. ILANI: Endapo utakuwa na mashaka na nafasi yoyote na ukataka ufafanuzi wa nini hasa kinaenda...
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
  15. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania America ndio wababe wa hizi kazi na wamerudi mzigoni kwa kasi sana

    Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana katika mavazi ya demokrasia lakini tangu aingie mwamba Trump amekua sio mnafiki jamaa kaamuua kuingia...
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nipeni kazi yoyote nipo kahama 0715670870

    Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870 Nitakufa na njaa.
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Baada ya wasanii kususiwa kazi zao, vijana wanaofanana na wasanii hao wamejikusanya ili kuchukua nafasi zao

    Kitendo cha wasanii wa Tanzania kususiwa kazi zao na jamii Yao kimewaibua vijana wanaofanana na wasanii hao na kuwafanya wajikusanye pamoja ili kwenda vijijini kujaribu bahati zao za kupiga show za Chaka to chaka wakiamini hawatatambulika kama ni feki,Maeneo waliyoainisha kwenda ni Chunya...
  19. Mallerina

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhitaji wa Dada wa Kazi anione PM

    Merry Xmas ! Kuna mdada anaomba kama Kuna mtu mwenye uhitaji wa mdada wa kazi ajitokeze Ana miaka 25 Anajua kupika Anajua kufua Anaweza kupanga nyumba vizuri Kazi ya duka anaweza pia..... Mshahara mtaelewana kulingana na kazi za nyumbani au duka
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za remote

    Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
Back
Top Bottom