kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Natafuta kazi yoyote, nina uzoefu wa kubeba mizigo na kutumia computer

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
  2. Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa. Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua...
  3. Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  4. U

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  5. Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  6. Nafasi ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kutokana na hali...
  7. Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  8. M

    Natafuta kazi ya ualimu

    Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
  9. H

    Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

    HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI: "ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI" Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka...
  10. M

    Sasa Kiingereza kitakuwa na kazi gani?

    Naona tayari michakato ya sheria iko jikoni mahakama kuanza kutumia Kiswahili mwanzo mwisho tofauti na sasa ambapo dokomenti zote huwa za kiingereza sasa baada ya sheria hii hakimu au mwanasheria yeyote itamlazimu atumie lugha ya kiswahili ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa upande...
  11. Unakutana na Changamoto gani unapofanya kazi na Dada/Mama zetu!

    Nina uzoefu wa miaka takribani Mitano ya Kufanya kazi na wanawake, asilimia kubwa ya kazi zangu ni kazi za site! Kwa kawaida kazi za site hasa za ujenzi zinahitaji motisha, kupush kwa nguvu na haraka hata sometimes kutumia lugha za matusi ilimradi kazi zisonge sometimes pia maamuzi ya chap...
  12. Alichokisema Rais Magufuli Tabora ni kweli; majungu watu hawafanyi kazi. Kanisa lajengwa katikati ya barabara, lapiga muziki masaa 24

    Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho huwezi kuongea na mtu jirani yako, huwezi kupokea simu au kusikiliza simu. Nilipouliza nikaambiwa...
  13. Ndaisaba: Itungwe sheria ya kuzuia watu kunywa pombe muda wa kazi

    Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani. Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni mjini Dodoma akibainisha kuwa kunywa pombe hadharani kunasimamisha shughuli za maendeleo kwa kuwa...
  14. V

    Mliotuma CV Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kazi ya ushuru, mmeshaitwa?

    Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
  15. Nafasi za kazi katika Mahakama ya Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mahakama ya Tanzania inapenda kuutangazia umma kwamba kuna nafasi za kazi za Madalali wa Mahakama na Wasambaza Nyaraka za Mahakama watakaofanya kazi katika Mikoa mbalimbali Tanzania Bara. Kwa mujibu wa Kanuni ya 4 na ya 6 ya...
  16. Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

    Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.
  17. Ni Kazi gani halali usiyoweza wala kutaka kuifanya hata kama ina malipo mazuri

    Mimi kazi ya jeshi,polisi na ualimu...ni BIG NO Wewe je??
  18. Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na kulogwa. Nilihangaika kutafuta uponyaji wake kwa njia ya hospitali hali ikawa sivyo hadi...
  19. Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    Wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. Vivyo hivyo hata biashara zingine...
  20. U

    Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…