Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Hizb Tahrir Tanzania

Senior Member
Feb 18, 2020
174
250
HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:

"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"

Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.

Rajab 1442 H - 2021 M

#TurudisheniKhilafah
#أقيموا_الخلافة
#YenidenHilafet
#ReturnTheKhilafah
#خلافتکوقائم_ک
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,253
2,000
Huko Syria ISIL wamepokea kipigo cha Mbwa mwizi kwa kuleta hao ukhatifa na kuuwa waislam wenzao .ni upuuzi mkubwa na ugaidi ukharifa waulize mashekhe wa uamusho wale magaidi wa Zanzibar wako wapi au wale jamaa zenu wa kibiti .
 

Macomeni

Senior Member
Jan 20, 2021
101
250
Huko Syria ISIL wamepokea kipigo cha Mbwa mwizi kwa kuleta hao ukhatifa na kuuwa waislam wenzao .ni upuuzi mkubwa na ugaidi ukharifa waulize mashekhe wa uamusho wale magaidi wa Zanzibar wako wapi au wale jamaa zenu wa kibiti .
Ndugu yangu usiwe na chuki dhidi ya Uisilamu.Anaposema ukharifa huyo ni kiongozi wa Waisilamu kama vile wakristo Kwa Papa,
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,253
2,000
Kila mtu akitaka dini yake itawale dunia, yeyote hatabaki salama.

Huu ndio upumbavu wa dini. Kujiona wewe ndiye una ukweli wa Mungu na wengine wote wasio katika dini yako wapotofu.

Ndiyo maana wengine tumezikataa dini.
Uislamu maana yake ni ubaguzi nilishaconclude hili
 

the kind

JF-Expert Member
Nov 6, 2019
296
250
Hakuna anaejua kila kitu isipokua ni ALLAH tu
Lakini pia huwa najiuliza hivi ni kweli kila nyuzi hapa jamvini unajua nini maana yake,inahusu nini ama inahamasisha ama inakemea jambo lipi


Pia anaetaka kufahamu jambo hawezi kuhoji ama kuuliza kwa designe ya kilevi kama hiyo,ULIZA KISTAARABU
Khilafah ndio nini, this is arrogance, kuamini kwamba kila mtu anatakiwa ajue kitu ambacho hakifahamiki nje ya jumuiya yako ni arrogance ya hali ya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom