Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Ni Asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi, Kilimanjaro.
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika...