Nimesoma Bsc. Human nutrition, natafuta kazi ya kujitolea

Palina

JF-Expert Member
Oct 9, 2021
3,057
8,085
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;

1. Nutritional Assessment and Surveillance

2. Nutritional Epidemiology

3. Designing and Planning Nutrition Programme

4. Geriatric Nutrition and Counseling

5. Food and Nutrition Security

6. Nutrition Management in Emergency and Disaster

7. Nutrition Information, Education and Communication

8. Community Health and Health Promotion

9. Nutrition Counseling

10. Nutrition and Disease

Kwa heshima na taadhima ninaomba msaada kwa yeyote ambae anaweza akanipatia muongozo/sehemu ya kujitolea, ili niweze kuongeza ujuzi nilio nao.

Shukrani!!
 
Naeza tengeneza virutubishi shirikishi hivi hutolewa kwa watoto wenye uzito pungufu

Kama ushawahi hudhuria clinic/RCH section hospitalini.
Mkuu toka ndani ya box ulilojifichia hume, wewe ni potentialbalaaa achana na ajira, narudia tena achana na ajira
 
Kama unafikiri unapensa kuajiriwa basi nitafute mm nitakuajiri japo sina chochote cha kukuajiri nacho but nna uhakika nikifanya kazi na wewe tutapiga hela balaa
 
Ooh thank you for your idea

But mkuu tunajaribu yote hayo sio mbaya nikabuild my career
 
Kama unafikiri unapensa kuajiriwa basi nitafute mm nitakuajiri japo sina chochote cha kukuajiri nacho but nna uhakika nikifanya kazi na wewe tutapiga hela balaa
Kila mtu ashikilie kile anachoamini yeye so kama ndo unavoamini , its good for you boss wangu.
 
Naeza tengeneza virutubishi shirikishi hivi hutolewa kwa watoto wenye uzito pungufu

Kama ushawahi hudhuria clinic/RCH section hospitalini.
Nakupa wazo; tembelea mtu yeyote mwenye kipato hapo mtaani kwako mpe wazo la ujuzi wako, yeye awekeze fedha wewe uwekeze ujuzi;mtengeneze kitu kitakachouzika.
 
Hebu
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;

1. Nutritional Assessment and Surveillance

2. Nutritional Epidemiology

3. Designing and Planning Nutrition Programme

4. Geriatric Nutrition and Counseling

5. Food and Nutrition Security

6. Nutrition Management in Emergency and Disaster

7. Nutrition Information, Education and Communication

8. Community Health and Health Promotion

9. Nutrition Counseling

10. Nutrition and Disease

Kwa heshima na taadhima ninaomba msaada kwa yeyote ambae anaweza akanipatia muongozo/sehemu ya kujitolea, ili niweze kuongeza ujuzi nilio nao.

Shukrani!!

Mawasiliano; 065 398 2000
Nichek dm..
 
Peleka vyet St Joseph au Marian college Kama gpa 3.8 utapata oakujishikizaa

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;

1. Nutritional Assessment and Surveillance

2. Nutritional Epidemiology

3. Designing and Planning Nutrition Programme

4. Geriatric Nutrition and Counseling

5. Food and Nutrition Security

6. Nutrition Management in Emergency and Disaster

7. Nutrition Information, Education and Communication

8. Community Health and Health Promotion

9. Nutrition Counseling

10. Nutrition and Disease

Kwa heshima na taadhima ninaomba msaada kwa yeyote ambae anaweza akanipatia muongozo/sehemu ya kujitolea, ili niweze kuongeza ujuzi nilio nao.

Shukrani!!

Mawasiliano; 065 398 2000
Tatizo linaanzia pale mwanafunzi anapo jaza kozi ilimradi apate chuo...

Sasa kwa magonjwa yaliyo jaa kwenye jamii zetu mtu kama wewe ulikua wa kuleta uzi wa kuomba kazi au wa kuuzia watu nutritional products/servises?
 
mkuu usipende ku-generalize mambo

asante kwa mchango pia
 
Back
Top Bottom