kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi za ndani na utapeli mpya mjini

    Habari wakuu, Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani. Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye vituo vya kazi

    Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
  6. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  7. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe: Taifa hujengwa kwa watu kufanya kazi kwa bidii, nguvu na akili nyingi na sio mizahamizaha na kuendekeza ujinga

    "Asiye fanya kazi na asile" hii aya ipo kwenye kitabu cha Biblia na ni maneno ya Mwenyezi Mungu kupitia nabii wake Yesu kama sijakosea. Waislamu kuna mahala wanaambiwa wakishafanya ibada watawanyike wakatafute ridhki. Hata dini zinaamini kwenye kufanya kazi. Watanzania na Waafrica tunaumiza...
  10. JamiiForums Tanzania Kuomba kazi

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva. Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo: πŸ‘‰πŸΌ Udereva wa kuendesha magari kuanzia...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
  13. JamiiForums Tanzania Hii kazi ya kuwaongoza Watu wa Tanzania ni ngumu Sana hivyo Mama anaangushiwa Jumba bovu

    Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi . Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani. Lakini walipomfungia Haji Manara...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe kitendo cha kupunzishwa kazi ananikaushia

    Nahisi pesa tu...muhogo uko vema
  15. JamiiForums Tanzania Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  16. JamiiForums Tanzania KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  18. JamiiForums Tanzania Natoa wito Agosti 23 tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa

    Maandalizi ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Yamekamilika, Kazi Iliyobaki ni Moja Tuu, Tujitokeze kwa Wingi kwa Kujituliza, Tuhesabiwe! Utangulizi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo tarehe 23, mwezi Agosti 2022. Wizara ya Fedha na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

    == SHAKA HAMDU SHAKA AWATAKA WATUMISHI KOTE NCHINI KUFIKA KWA WANANCHI KUSIKILIZA KERO NA CHANGAMOTO MBALIMBALI. Na Mwandishi Wetu, Sikonge KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Shaka Hamdu Shaka amewataka watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi kwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuacha kazi bila kupata kazi?

    Mradi uliokuwa unautegemea unakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. Unaamka asubuhi hauna ratiba ya kwenda mahali popote, majirani wambeya wanakuuliza maswali ya kipuuzi "vipi Leo mbona hujaenda kazini" siku chache za mwanzo unawajibu kuwa upo off day baada ya muda unawaambia kua upo likizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…