Natafuta kazi ya upishi

Rajabu mjanga

New Member
Aug 22, 2022
3
2
Habari,

Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022.

Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian, na pia najua kupika vyakula vya Tz, Kama wali, pila, nk,

Nilikuwa natafuta kazi ya upishi iwe napatika kwa namba +255628863418 🙏
 
Naona unajua kupika vyakula vya wazungu tu.
What if nikitaka kukupa kazi ya kuwa unanipikia ugali wa mtama tu utaweza kweli yakhe?
 
kwangu nina kazi ya ujenzi njoo uanze kazi kesho, kwa kutwa posho ni 30,000 saidia fundi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom