kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT. Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mambo vipi au niseme good evening. Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali. Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza. Weekend njema.
  3. JamiiForums Tanzania Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  5. JamiiForums Tanzania Kauli/Maelekezo/Marufuku zilizowahi kutolewa na viongozi na hazifanyi kazi sasa. Unakumbuka zipi?

    Hebu tujaribu kuwakumbusha viongozi kuhusu kauli ambazo walikuwa wanaamini ni za kujenga lakini kwa namna moja au nyingine hazikuwahi kutekelezwa, au utekelezaji wake unasua sua 1. Marufuku ya kuosha magari kwenye barabara za lami kwamba ni chanzo cha uharibifu wa barabara 2. Marufuku bodaboda...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta mfanyakazi professional kwenye nyumba yako au biashara zako?

    Je, umezunguka sana huku na kule bila kupata mfanyakazi ambaye ni professional, kwenye nyumba yako au biashara zako ? Je, umesumbuka sana na labda ulipata wafanyakazi ambao wamekupa hasara kubwa ambao hawana ujuzi wowote au wavivu? Je, unahitaji mfanyakazi professional wa malengo yako kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi 25 za Kazi kwa Waandishi wa Habari

    CALL FOR APPLICATION (25 POST) JOB TITLE: WATETEZI TV REGIONAL REPORTERS ORGANIZATION: TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDERS COALITION (THRDC) DUTY STATION: TANZANIA MAINLAND AND ZANZIBAR REGIONS CLOSING DATE: 30th NOVEMBER,2022 INTRODUCTION The Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC)...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Dkt. Bashiru anafanya kazi yenu lakini mlivyo mazuzu hata hamuoni!

    Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa. Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi. Kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  12. JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Habari Jamii forum,naitwa Justine exavery. Elimu yangu ni kidato cha sita. Nina uzoefu katika biashara ya uuzaji nguo na mambo ya mauzo pia naweza. Nina uhitaji wa kazi ndugu,kama Kuna mtu anajua mahali naweza pata kazi au kama mtu anahitaji mfanyakazi. Nipo hapa kijana wenu. Nipo tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

    Aaaa
  14. JamiiForums Tanzania Sidhani kama Kuna Mtanzania aliezidiwa na Maisha Rais wetu anafanya kazi nzuri

    Humlipii mtoto ada, kuanzia darasa la kwanza hadi kidato Cha sita hizo hela ulizotakiwa kulipa ada unazifanyia nini? Rais amedhibiti kwa kiasi kikubwa Mfumuko wa bei za bidhaa, tunaona kushuka Kwa bei za Mafuta, pembejeo za kilimo n.k. Hizo hela zinazobaki baada ya punguzo mnazifanyia nini...
  15. T

    JamiiForums Tanzania KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zipo Siasa za kuvutana baina ya Mafahari wa dunia na kutaka kuziburuza nchi za Afrika katika Migogoro yenye maslahi yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao kazi cha Mabalozi na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje leo tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar SEHEMU YA MAZUNGUNZO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MABALOZI WANAOWAKILISHA TANZANIA NJE...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni halali na haki kwa baadhi ya Watumishi wa Mungu kujimilikisha kazi Mungu?

    Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu. Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

    Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters ni gharama? Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji? Au hawawapati watu wale...
  19. JamiiForums Tanzania Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  20. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    TANGAZO LA AJIRA PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa Cheo – msimamizi MKUU na mtawala. SIFA muombaji anatakiwa kuwa na Diploma na kuendelea katika fani zifuatazo. Accounting , Business Administration...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…