Tatizo la kurudiwa kutangazwa kwa nafasi za kazi za Assistant Lecturers

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,594
8,679
Nini tatizo,
Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa?

Je wanakosa watu?
Je watanzania hawana vigezo?
Je wakachukue wageni?
Je watanzania hawana elimu za masters?
Je kusoma masters ni gharama?
Au wanachunguza sana mwisho wanakosa mtu wanayemwihitaji?

Au hawawapati watu wale wanaowahitaji?

Mwisho: Kwanini kazi za sekta ya afya huwa zinazoazoa tu bila kumwona mtu aliyetuma maombi ya kazi?
 
Kwakweli kwenye sekta za Afya wanaharibu sana.. ingependeza waitwe hata kwa mahojiano kidogo ilia mwajiri anyone mwombaji kazi
 
Ili kupata kazi kupitia usahili, msahiliwa lazima afikie viwango vilivyowekwa katika usahili husika.

Kushindwa kufikiwa kwa viwango hivyo, nafasi lazma itangazwe tena.
 
Kwa baadhi ya kada, watu wenye masters ni wachache sana.

Ni wachache kwa sababu kusoma masters ni gharama mno. Hata undergraduate ukiwaondoa bodi ya mikopo, wazalendo wengi hawataweza kujilipia gharama za masomo hayo.

Unashangaa kuona eti wanatafuta lecturer 8, yaani hizo ni PhD 8 ambazo ziko mtaani hazina kazi.... Unapataje kwa mfano ?
Wakati hao ndio wakuu wa idara na vitengo kwenye taasisi mbalimbali.... Ni vigumu sana kupata mtu anasoma digrii ya 1, ya 2 hadi ya 3 bila kuwa kwenye taasisi ambayo ina maslahi na kujiendeleza kwa msomi huyo.

Pia kuna watu wengine wana masters, wapo mtaani lakini hawana GPA zinazotakiwa. (Undergraduate kuanzia 3.8 na masters 4.0)

Tuajiri wageni ? Hapana.
Vyuo viajiri wakufunzi wasaidizi (tutorial assistants) hawa wapo wengi sana, na wawaendeleze wao wenyewe kielimu ili kuwapata hao wahadhiri wa ngazi za juu. Wasitegemee kuokota mtaani masters na PhD zinazozagaa.

Vinginevyo wata "re-advertise" hayo matangazo yao hadi akili ziwakae sawa.

Kwako Meneja

😀😀😀😀😀We jamaa umemaliza comment. Ila kwasasa kuna masters zipo mtaani wengine hawapendi usumbufu wa kuhojiwa wakati walishafaulu. Hivi mtu ana GPA ya 4.5 na 4.4 unaanza kumhoji wa nini. Na amesoma kwenye chuo chako. Hapo ni kumwita na kuanza kufanya kazi.
 
Nadhani lengo la usaili ni pamoja na yafuatayo:-

1. Kutenda haki ya uwazi na usawa (fairness and openness). Ukipigiwa simu watu watasema "ujomba ujomba" umetumika.

2. Kuchuja baina ya wengi (kama mko wengi mnaokidhi vigezo) ili kumpata aliye bora zaidi kwa ajili ya kazi husika.

3. Kujiridhisha juu ya uwezo wako wa kufundisha, kuelewesha, kulimudu darasa pamoja na kiwango chako cha kujiamini. Hivi ni vitu muhimu sana katika mkufunzi/mhadhiri lakini huwezi kuvitambua kwa kutumia ufaulu wa kwenye cheti (GPA).
 
Soma aya ya mwisho boss kwenye uzi wangu juu ya sekta ya afya. Hivi unadhani hizo kazi zingekua chache wangekua wanafanya hivyo wanavyofanya??
 
Nadhani hapo unazungumzia ajira za halaiki (zile za afya zinazopitia TAMISEMI pamoja na ajira za ualimu wao kutokua na interview).

Mimi binafsi naamini katika ushindani wa wazi. Natamani sana ajira zote zitolewe kwa minajili hiyo (ya ushindani). Interview is the best tool to serve this purpose.

Lakini kuna mazingira mengine huwezi kufanyisha interview kulingana na wingi wa watu wanaotakiwa, muda wa kukamilisha mchakato huo wa ajira kuwa mfupi, n.k

Katika mazingira haya, unaweka vigezo fulani (specific criteria) utakavyotumia kumchukua huyu na kumuacha yule.

Hivyo basi, ili kutofanya upendeleo, unapaswa kuweka vigezo kweli vinavyopima merit, na kuvifuata vigezo hivyo.

Kwa ujumla ni kwamba wahitimu wote wa kozi za afya, wanao uwezo wa kufanya kazi za afya (wakiajiriwa). Wahitimu wote wa ualimu, wanao uwezo wa kufundisha (wakiajiriwa). Hili ni suala ambalo halina mashaka kabisa. Ila unapotakiwa kupata watu 20 kati ya 1000 waliosomea kozi fulani na kuihitimu, na ukaweka vigezo vya kuwachuja, kamwe haitamaanisha wale 980 watakaobaki wasingeweza kufanya kazi hiyo.

Tukirudi specific kwenye suala lako.

Let say wewe una shahada ya kwanza ya "kupika uji" yenye GPA 4.5 na baadae ukahitimu shahada ya umahiri katika "kupika uji" na kupata GPA ya 4.4
Sasa hutaki kuhojiwa (kufanyiwa interview), bali unataka kuitwa na kupewa mkataba uanze kufundisha. (Kama nimekuelewa).

Maswali yangu kwako:-
What if kuna watanzania wengine wana vigezo kama vyako.... Huoni kama wao watakua wamenyimwa fursa kwa wewe kupigiwa simu personally ukaanze kazi. (Tuchukulie nafasi ni hiyo hiyo moja).
Je, mambo (ya kupigiana simu mtu ukaanze kazi moja kwa moja) yakienda against your favour, nikapigiwa simu mimi badala ya wewe, huoni kama huo utaratibu utakua umekunyima wewe fursa ?

Kama nauliza vitu irrelevant na hoja yako, naomba niambie boss wangu.

Kwa sasa niishie hapa.
 
Boss umemaliza,
 
Kwa baadhi ya kada, watu wenye masters ni wachache sana.

Ni wachache kwa sababu kusoma masters ni gharama mno. Hata undergraduate ukiwaondoa bodi ya mikopo, wazalendo wengi hawataweza kujilipia gharama za masomo hayo.

Unashangaa kuona eti wanatafuta lecturer 8, yaani hizo ni PhD 8 ambazo ziko mtaani hazina kazi.... Unapataje kwa mfano ?
Wakati hao ndio wakuu wa idara na vitengo kwenye taasisi mbalimbali.... Ni vigumu sana kupata mtu anasoma digrii ya 1, ya 2 hadi ya 3 bila kuwa kwenye taasisi ambayo ina maslahi na kujiendeleza kwa msomi huyo.

Pia kuna watu wengine wana masters, wapo mtaani lakini hawana GPA zinazotakiwa. (Undergraduate kuanzia 3.8 na masters 4.0)

Tuajiri wageni ? Hapana.
Vyuo viajiri wakufunzi wasaidizi (tutorial assistants) hawa wapo wengi sana, na wawaendeleze wao wenyewe kielimu ili kuwapata hao wahadhiri wa ngazi za juu. Wasitegemee kuokota mtaani masters na PhD zinazozagaa.

Vinginevyo wata "re-advertise" hayo matangazo yao hadi akili ziwakae sawa.

Kwako Meneja
Meneja Wa Makampuni
We ndo umeongea ukweli mtupu.
 
Uko sahihi
 
Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom