Tangazo la kazi

Tangazo la kazi

paxbrothers

New Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
2
Reaction score
2
TANGAZO LA AJIRA​

PAX BROTHERENS CAMPANY LTD iliyopo mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi inawatangaza nafasi ya kazi kwa watanzania wote wenye sifa

Cheo – msimamizi MKUU na mtawala.

SIFA

  • muombaji anatakiwa kuwa na Diploma na kuendelea katika fani zifuatazo. Accounting , Business Administration ,Marketing , Law, Human Resource management au Public Administration
  • Awe na umri usiozidi miaka 35
  • Awe na uzoefu wa usimamizi wa biashara inayoanza
  • Awe tayari kuishi wilaya ya Mbozi
  • lazima awe na leseni ya udereva
  • Anapaswa na kuwa na ujuzi wa computer
  • Awe anajua kuongea kingereza na Kiswahili kwa ufasaha
MAJUKUMU

  • kusimamia nidhamu na usafi wa wafanyakazi wote na mazingira
  • kusimamia malengo ya kampuni na kuyaishi
  • kusimamia utendaji kazi wa wafanyakazi
  • kutoa ripoti kwa wakurugenzi kwa wakati
  • kusimamia matumizi ya kila siku
  • kushauri,kupanga malengo ya kampuni
  • kusimamia ubora wa bidhaa kabla ya kwenda sokoni
  • kutafuta masoko mapya
  • kukabidhiana bidhaa na wasambazaji
Moambi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe katika anuani: paxbrothrens@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 2.12.2022

Vipi dokezo kuhusu mshahara ili watu wamiminike kutuma maombi? Au ni siri kwa hatua za awali Mkuu?
 
Okay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom