Nini kazi ya hivi vipipi?

Nini kazi ya hivi vipipi?

ProcrastinatorInChief

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
13,002
Reaction score
29,466
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini?

Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka kwa bei kubwa kweli kweli.

Na kuna siku juzi kuna msichana mmoja aliniambia kuwa anavitumia na vimesababisha akapewa pesa nyingi( Kwenye kazi yake ya kudanga). Hebu naombeni mnitoe tongotongo kwa picha navijua ila sijui kazi yake na vinaliwaje na vinatumikaje

Naomba kuelimishwa...
images (16).jpeg
 
Back
Top Bottom