kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Graham Potter afukuzwa kazi na klabu ya Chelsea

    Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

    Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani . Nisaidieni jinsi bando langu kupitia smartphone yangu unaweza nizalishia pesa. Jobless tupitie comments za high IQ hapo 👇👇👇
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

    Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti Viongozi WA halmashauri wote...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  8. JamiiForums Tanzania Mitandao unayoweza ukapata kazi za mitandaoni

    Hizi nimezipata mahala so na wewe weka zako watafutaji vijana wanaweza wakazipata mana . 1.flexjobs.com 2. who is hiring .io 3. remoteml .com 4. freelancer .com 5. upwork.com 6. remoteok .io 7. devsnap .io 8. remote .co 9. dice .com 10. angel .co
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

    Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura: Polisi wafurushwa: Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
  10. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

    Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu. Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe.. Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiwa huna kazi mwanamke anakuchukuliaje?

    Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake...
  12. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete amezitaka Taasisi za TPSC na Uongozi kuandaa programu za mafunzo zitakazoboresha utendaji kazi kwa Watumishi na Viongozi

    TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke amejitoa sadaka kisa mumewe apate kazi

    Hellow Hii story ya kweli kabisa imetokea ivi karibuni Kulikuwa na mdada aitwaye Tupokigwe ambaye alikuwa na mchumba wake aitwaye Chacha walipenda sana. Tupokigwe alikuwa ni mwajiliwa wa sekta binafsi alikuwa ni afisa biashara wa kampuni, ila Chacha alikuwa hana kazi jobless Tupokigwe aliona...
  14. JamiiForums Tanzania Dynamic island feature ambayo ipo kwenye iPhone 14 pro sasa inafanya kazi kwenye android yoyote bila kuwa na usumbufu wa ADs

    App inaitwa dynamic spot hii inawafaa wale wanaopenda kulemba mionekano ya simu zao
  15. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  16. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi katika Mgodi Wa Barrick Shinyanga-Fundi Mitambo (HD Mechanics)

    HD Mechanic Shinyanga, Tanzania, United Republic of TRENDING JOB DESCRIPTION JOB ADVERT - HD MECHANICS (01 VACANCY) Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit HD Mechanics to join our team. The successful candidate for this position is expected to align with the Barrick DNA and drive a change...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

    Wana jamvi habari za usiku huu, Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa. Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
  19. JamiiForums Tanzania Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    Kwanza, Freelancer ni nani? Freelancer ni mtu yoyote self-employed anayefanya kazi kwa watu/mtu au makumpuni mbalimbali bila kuwa na long-term relationship nao wala commitment za kazi nyingne zaidi, mostly done online. Typically freelancers hulipwa kwa lisaa, siku ama muda service anayotoa kwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Watu walifanyaje kazi kabla ya mashine kuvumbuliwa?

    Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii. Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini. Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…