Kijana Unaetafuta kazi, Uwe unajua Kuendesha Pikipiki/Gari

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA

Sifa za Kijana ninae Mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao (sio wapangaji)
Ujue Customer Care Kuongea/kushawishi Mteja Vizuri
Uwe na Acc NMB,CRDB au bank yoyote (mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000" (kwa Mwezi)

Contact : PM ipo wazi muda wote

VIJANA WA KIKE WANAHITAJIKA (WAWILI)

Sifa za Kijana ninae mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe mzuri Kimuonekano Uvutie/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

KIJANA WA KIUME ANAHITAJIKA

Uwe na muonekano/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)

Tangazo Hili lina nafasi za Kazi za Vijana wa 4 Wakiume (wawili) na wa kike (wawili).

Litakua Expired baada ya kutoa taarifa kwa MODS walifunge,ukiona unaweza ku comment kwenye hii post basi jua Mtu/watu hawajapatikna au wamepatikana lakini uhitaji wa wengine Upo.

Ukiona comment section imefungwa unakutana na "NO FURTHER REPLIES FOR THIS THREAD" fahamu Uzi umeshakua expired na wahusika waliokua wanatafutwa wamepatikana na hawahitajiki wengine.

Karibuni Vijana wenzangu wenye nia na usongo wa Maisha.

CONTROLA
 
Ungeweka wazi ni kazi gani na majukumu kwa ujumla, kuna comission au ni Net payment 200k, maana mi nafanya kazi za sales na experience kubwa ninayo nashindwa kuja pm bila kujua ni kazi gani ili nione naweza kuachana na huku nikaja huko.

Boresha tangazo, 200k bila extra income ni ndogo kwa maisha ya sasa. Otherwise tegemea kuibiwa au kutafutiwa namna ya kuibiwa.

Kama ni kazi ya sales weka wazi una uza nn.

Tangazo halijitoshelez
 
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA

Sifa za Kijana ninae Mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao (sio wapangaji)
Ujue Customer Care Kuongea/kushawishi Mteja Vizuri
Uwe na Acc NMB,CRDB au bank yoyote (mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000" (kwa Mwezi)

Contact : PM ipo wazi muda wote

VIJANA WA KIKE WANAHITAJIKA (WAWILI)

Sifa za Kijana ninae mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe mzuri Kimuonekano Uvutie/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

KIJANA WA KIUME ANAHITAJIKA

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe na muonekano/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

Tangazo Hili lina nafasi za Kazi za Vijana wa 4 Wakiume (wawili) na wa kike (wawili).

Litakua Expired baada ya kutoa taarifa kwa MODS walifunge,ukiona unaweza ku comment kwenye hii post basi jua Mtu/watu hawajapatikna au wamepatikana lakini uhitaji wa wengine Upo.

Ukiona comment section imefungwa unakutana na "NO FURTHER REPLIES FOR THIS THREAD" fahamu Uzi umeshakua expired na wahusika waliokua wanatafutwa wamepatikana na hawahitajiki wengine.

Karibuni Vijana wenzangu wenye nia na usongo wa Maisha.

CONTROLA
Safi mkuu
 
Section ya kwanza inanihusu but sina ujuzi wa boda/gari ILA NINA USONGO KINYAMA
 
Nilivomuona tu mleta mada nikaenda moja kwa moja kwenye mshahara na nilichokiwaza ndo nilichokukuta😂😂

Sio kwa ubaya lakini brother CONTROLA , watu wanabwabwaja tu hawajui uchungu wa hela
Anae ongea kitu anileteee salary slip ya wafanyakazi wake,halafu na mimi niweke salary slip za wafanyazi zangu

Yeyote atakae ona huu mshahara ni mdogo anishushie hapa salary slip ya wafanyazi wake 10 namimi nitaweka

Salary slip ya wafanyakazi wangu wa 5 tu, yeye aweke 10 Akiweza fikisha TOTAL ya Pesa ninayowalipa wafanyakazi wangu wa 5 tu vs wake 10.

Naongeza Mshahara wa hawa wasaidizi ninao watafuta Hapa x 2 ya hela niliyoweka,Salary slip zionyeshe Mwezi na Mwaka. Ziwekwe Hapa.
 
Usela usiwe mwingi unapokuja PM, mtu anakutext Niaje Mkuuu...

Niaje Mzeee.

Unae hitaji Kazi naomba ukija PM behave,jielezee usela kujuana kusiwe kwingi,Ukiona sijajibu PM yako

Jiongeze tu otherwise uje na id nyingine ukielezea kilichokuleta PM Tangazo lipo JF ila kazi hupewi JF.
 
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA

Sifa za Kijana ninae Mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao (sio wapangaji)
Ujue Customer Care Kuongea/kushawishi Mteja Vizuri
Uwe na Acc NMB,CRDB au bank yoyote (mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000" (kwa Mwezi)

Contact : PM ipo wazi muda wote

VIJANA WA KIKE WANAHITAJIKA (WAWILI)

Sifa za Kijana ninae mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe mzuri Kimuonekano Uvutie/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

KIJANA WA KIUME ANAHITAJIKA

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe na muonekano/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

Tangazo Hili lina nafasi za Kazi za Vijana wa 4 Wakiume (wawili) na wa kike (wawili).

Litakua Expired baada ya kutoa taarifa kwa MODS walifunge,ukiona unaweza ku comment kwenye hii post basi jua Mtu/watu hawajapatikna au wamepatikana lakini uhitaji wa wengine Upo.

Ukiona comment section imefungwa unakutana na "NO FURTHER REPLIES FOR THIS THREAD" fahamu Uzi umeshakua expired na wahusika waliokua wanatafutwa wamepatikana na hawahitajiki wengine.

Karibuni Vijana wenzangu wenye nia na usongo wa Maisha.

CONTROLA
Maelekezo yote hayo mshahara 200k ww zuzu kweli asee. Kama vipi fanya kazi mwenyewe. Eti wadhamini wanaoishi kwako kwani wakipangisha sio kwao au hao wanaoishi kwao wakiamua kukutapeli utawafanya nn😂😂😂😂 maelezo mengi kumbe huna hata hela za kulipa wafanyakazi
 
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA

Sifa za Kijana ninae Mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao (sio wapangaji)
Ujue Customer Care Kuongea/kushawishi Mteja Vizuri
Uwe na Acc NMB,CRDB au bank yoyote (mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000" (kwa Mwezi)

Contact : PM ipo wazi muda wote

VIJANA WA KIKE WANAHITAJIKA (WAWILI)

Sifa za Kijana ninae mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe mzuri Kimuonekano Uvutie/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

KIJANA WA KIUME ANAHITAJIKA

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe na muonekano/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

Tangazo Hili lina nafasi za Kazi za Vijana wa 4 Wakiume (wawili) na wa kike (wawili).

Litakua Expired baada ya kutoa taarifa kwa MODS walifunge,ukiona unaweza ku comment kwenye hii post basi jua Mtu/watu hawajapatikna au wamepatikana lakini uhitaji wa wengine Upo.

Ukiona comment section imefungwa unakutana na "NO FURTHER REPLIES FOR THIS THREAD" fahamu Uzi umeshakua expired na wahusika waliokua wanatafutwa wamepatikana na hawahitajiki wengine.

Karibuni Vijana wenzangu wenye nia na usongo wa Maisha.

CONTROLA
Hapa kama sio wale wauza mabeseni 😂😂😂😂 ahh itakua watembeza sabuni vijana wanavaa tai jua kaliii wanauza mabeseni bidhaa inachakaa kabla haijauzwa 😂😂😂 tangazo halisemi kazi gani alafu mshahara 200k dah bongo nyoso. Alaf mtu anapanic eti leta malipo ya wafanyakazi kumi😂😂😂😂
 
Maelekezo yote hayo mshahara 200k ww zuzu kweli asee. Kama vipi fanya kazi mwenyewe. Eti wadhamini wanaoishi kwako kwani wakipangisha sio kwao au hao wanaoishi kwao wakiamua kukutapeli utawafanya nn maelezo mengi kumbe huna hata hela za kulipa wafanyakazi
ukute wewe hujaajiri hata beki tatu

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha habari hapo Juu,Nahitaji kijana wa kiume anaejitambua mwenye usongo wa Maisha kama SIMBA

Sifa za Kijana ninae Mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia Computer (lazima)
Ujue kuendesha Gari/PikiPiki (lazima)
Uwe Mkazi wa Dar
Usiwe na Ulemavu wa aina yeyote
Uwe na Wadhamini Wanaoishi Kwao (sio wapangaji)
Ujue Customer Care Kuongea/kushawishi Mteja Vizuri
Uwe na Acc NMB,CRDB au bank yoyote (mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000" (kwa Mwezi)

Contact : PM ipo wazi muda wote

VIJANA WA KIKE WANAHITAJIKA (WAWILI)

Sifa za Kijana ninae mtaka :

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe mzuri Kimuonekano Uvutie/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

KIJANA WA KIUME ANAHITAJIKA

Elimu yoyote
Ujue kutumia computer (lazima)
Uwe na wadhamini (wenye nyumba zao) sio wapangaji
Ujue customer care/ushawishi
Uwe na muonekano/Upendeze/Ujipende/smart (Lazima)
Uwe na Acc ya NMB,CRDB au bank yoyote (Mshahara haulipwi mkononi)

OFISI ilipo "MBEZI MWISHO"

Mshahara "200,000"

Contact : PM ipo wazi

Tangazo Hili lina nafasi za Kazi za Vijana wa 4 Wakiume (wawili) na wa kike (wawili).

Litakua Expired baada ya kutoa taarifa kwa MODS walifunge,ukiona unaweza ku comment kwenye hii post basi jua Mtu/watu hawajapatikna au wamepatikana lakini uhitaji wa wengine Upo.

Ukiona comment section imefungwa unakutana na "NO FURTHER REPLIES FOR THIS THREAD" fahamu Uzi umeshakua expired na wahusika waliokua wanatafutwa wamepatikana na hawahitajiki wengine.

Karibuni Vijana wenzangu wenye nia na usongo wa Maisha.

CONTROLA
Unamtafuta kwa ajili ya kazi ya kuwa house girl/boy?
 
Back
Top Bottom