Nafasi tatu za kazi ya ualimu wa kufundisha ubunifu na ushonaji Sinza Mapambano

steveson manumbu

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
887
175
VKVT COLLEGE
NAFASI TATU ZA KAZI YA UALIMU WA KUFUNDISHA UBUNIFU NA USHONAJI SINZA MAPAMBANO - DAR ES SALAAM

SIFA ZA MUOMBAJI:

. Awe na cheti au stashahada ya sanaa ya ufunzi katika ushonaji kutoka VETA kwa level ya NIT
. Awe mbunifu katika ufundishaji
. Awe na uzoefu si chini ya miezi sita
. Mwamifufu
. Mwenye kufuata sheria na miiko ya kazi ya ufundishaji
. Jinsia ya kike au ya kiume
. Awe na uwezo wa kusimamia majukumu yake na kuwaongoza wengine
. Umri 25-35
. Awe mkazi wa Dar Es Salaam

Majukumu
. Kufundisha wanafunzi
. Kusimamia chuo wanafunzi na walimu wenzake
. Kusimamia nidhamu kwa wanafunzi na walimu

Mshahara maelewano.

Ambatanisha cv,vyeti

Maombi yote yatumwe kupitia
Baruapepe: vkvktcollege@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni tr 7/06/2023. Saa 6:00 usiku.

Hakuna malipo ya kupata kazi hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom