Kwa wale wapenzi wa Calculus: Kazi bado inaendelea

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,327
6,850
Mnaweza kukuta mnapitia baadhi ya maswali ambayo yalishakamilika kwenye attachment hizo hapo chini

Pia yapo majibu ya maswali yote yaliyowahi kutajwa kwenye post hii hapa chini


Majibu mengine ni ya maswali karibia yote yale yaliyopo kwenye website hii hapa


baadhi ya maswali mengine ni yale yaliyotungwa na mwandishi mwenyewe, na mengine kuchukuliwa kutoka kwenye website mbali mbali kama vile Math24 website na hatimaye kutafutiwa solution kwa kutumia njia mbadala

Maoni na ushauri wa aina mbali mbali hasa kwa maswali yale ambayo bado yanaendelea kufanyiwa kazi yanakaribishwa/ unakaribishwa

MUBARIKIWE NA BWANA
 

Attachments

  • INTEGRAL CALCULUS.pdf
    836.6 KB · Views: 6
  • DIFFERENTIAL CALCULUS.pdf
    1.1 MB · Views: 4
  • Math_an2_exercises.pdf
    105.5 KB · Views: 3
Complete final versions of the documents will be released before the end of this year
 
Back
Top Bottom