kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kazi ya fundi Maiko katika ubora wake!

    Nyumba zilizojengwa na fundi Maiko na zile za Fosi Akaunti.
  3. JamiiForums Tanzania Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

    Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Eng. Ezra Chiwelesa: Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wapewe kazi kwa mikataba ya miaka 5

    Akichangia hoja bungeni Mbunge Eng. Ezra Chiwelesa amesema Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wasiwe wanapata nafazi zao siziwe hazina ukomo, badala yake wapewe mikataba ya miaka mitatu au mitano na kazi hizo zitangazwe wenye vigezo waombe ili kuleta uwajibikaji katika utendaji wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
  9. JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  12. JamiiForums Tanzania Wanasema ubunifu unahitajika kwenye kazi

    Ubunifu unahitajika sana katika kazi ili kuleta ufanisi.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika...
  15. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

    Ni maisha tu. Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu. Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
  16. JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  18. JamiiForums Tanzania Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  19. JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
  20. JamiiForums Tanzania Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…