kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

    Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
  6. JamiiForums Tanzania Jamani hivi nini kazi ya akili?

    Kuna kazi nyingine sidhani kama wahusika zilizomo zimo! Ukishuka kwenye usafiri wa umma mbezi mwisho na ikatokea ukawa na kabegi, jinsi ambavyo unadakwa na wapiga debe sio poa! (si mwanaume si mwanamke)! Daaah! Wengine wakiona gari la mbagara wanaanza kugombania abiria wakiwa ndani ya basi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwahurumie waliofanya kazi private. Itoe tamko wapewe stahiki zao

    Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano. Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi Mhasibu Msaidizi (1)

    SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla...
  9. JamiiForums Tanzania JOB Vacancy Zanzibar / Nafasi ya Kazi Zanzibar

    MARKETING OFFICER JOB VACANCY – ZANZIBAR OFFICE ECOACT Tanzania Limited is an Award winning social enterprise established to address the challenges of post-consumer plastic waste, ocean plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change, we recycle and transform ocean...
  10. JamiiForums Tanzania Ntafuta kazi ya store keeping

    Habari mwenye connectionya kazi ya store au inayoendana na cheti cha records anichek,tusaidiane wakuu,kipoozo kipo
  11. JamiiForums Tanzania Askari waliotuhumiwa kumuua Mlinzi wa Boardroom wafukuzwa kazi

    JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wawili wa Kituo cha Mabatini wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mlinzi wa baa ya Board Room, Riziki Azan (29). Azan ambaye alikuwa mlinzi wa baa hiyo iliyoko Sinza jijini hapa, aliuawa usiku wa kuamkia Novemba 29, mwaka huu wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

    Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

    Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali. Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende kinywani. KAZI pia Si Kwa ajili ya kujipatia kipato pekee, KAZI pia ni Kwa ajili ya AFYA pia, ndo maana...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi (Regional General Manager) TAZARA

    The Tanzania Zambia Railway Authority (TAZARA) is a bi-national railway company owned jointly by the Governments of the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia. The railway stretches from the port of Dar es Salaam in Tanzania to New Kapiri-Mposhi in Zambia, covering a distance of...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

    KAZI MAALUM #1 (ULAYA) Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa? KAZI MAALUM #2 (AFRIKA) Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

    Siyo kazi zile za kulipwa kwa commission kweli hozi
  19. A

    JamiiForums Tanzania TCRA kwa nini hamzifungii hizi website au mna kazi za ajabu ajabu

    https://tanesco.tz.onrecruit.site/?m=1#1702207336312 Hawa watu mnaweza mka deal nao mara moja lakini mnafikiria mengine.....
  20. JamiiForums Tanzania Uhuru na Kazi - Dhamira ya Kijiji cha Muhoji Kufungua Sekondari Yake Mwakani Iko Pale Pale

    UHURU NA KAZI - DHAMIRA YA KIJIJI CHA MUHOJI KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI IKO PALE PALE Wananchi wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema wameamua kujenga Sekondari yao (Muhoji Sekondari) na dhamira ya kuifungua shule hiyo Januari 2024 iko pale pale. Ujenzi wa awali unaokamilishwa ni: *Vyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…