Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.

Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.

Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.

Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.

Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
 
Na wewe wasaidie hao wengine,kupanga ni kuchagua,acha kumpangia Rais matumizi ya pesa yake
 
Matapeli wapo wengi, ukiwa chadema huwezi kukosa kuwa tapeli ht ukiwa mgonjwa

20231212_093801.jpg

CC Erythrocyte
 
Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali.

Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama unajua bado una Shida, huna Hela au una Madeni mengi ya Hospitalini au Kwingineko (katika Jamii usitumie njia ndefu ya kutaka kujipatia/kuomba Pesa bali sema tu wazi wazi kuwa Umepigika Kimaisha kama GENTAMYCINE hivyo unaomba Msaada ili Watanzania wakusaidie tu na siyo kutumia Usanii Usanii na Mbwembwe nyingi.

Na Foundations nyingi huwa zinaanzishwa na zinanoga pia kama tu Mlengwa akiwa ameshatangulia mbele za Haki (yaani Kafa/ Kafariki) au Kapona kabisa tatizo lake ila siyo Mgonjwa kuanzisha Mfuko wake.

Wengine (GENTAMYCINE nikiwemo) ni kama Bahari ambayo kamwe huwa haikai na haitokaa na Uchafu wowote ule hivyo tukiona kuna tatizo au upuuzi wowote ule mahala fulani siwezi/hatuwezi Kunyamaza au Kulinyamazia.

Mzanaki, Myao na Mtutsi nimemaliza.
Pesa ni yake binafsi hazikuhusu, wewe umechangia wangapi huku kwenye misiba wewe huenda kula na kunywa.
 
Na Mkewe na yeye katumia fursa ya Sympathy ya mmewe kuanzisha mradi wa ufagaji nguruwe kwa watu kununua Share kwenye Kampuni yao,Kwa madai ukiweka shilingi unapata shilingi nyingine.Kwa wajanja tushashtuka.J na Mkewe wanapiga wajinga kimyakimya
 
Kwamba unakejeli wazo la kuanzisha foundation?
 
Na Mkewe na yeye katumia fursa ya Sympathy ya mmewe kuanzisha mradi wa ufagaji nguruwe kwa watu kununua Share kwenye Kampuni yao,Kwa madai ukiweka shilingi unapata shilingi nyingine.Kwa wajanja tushashtuka.J na Mkewe wanapiga wajinga kimyakimya
Kwahali nimemuona nayo jamaa haiko sawa,kutembea hawezi halafu mkewe lishangaza la mjini kitambo
 
Na Mkewe na yeye katumia fursa ya Sympathy ya mmewe kuanzisha mradi wa ufagaji nguruwe kwa watu kununua Share kwenye Kampuni yao,Kwa madai ukiweka shilingi unapata shilingi nyingine.Kwa wajanja tushashtuka.J na Mkewe wanapiga wajinga kimyakimya
Mke wake ina maana kaachana na ile shule yake ya watoto chekechea

Ova
 
Back
Top Bottom