kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata uniform za kazi

    Habarini za majukumu wakuu naombeni mniambie anayejua duka linalouza uniform kama zinavyoonekana pichani hapo
  2. JamiiForums Tanzania Elon Musk afunguliwa kesi ya madai ya Tsh. Bilioni 326.4 kwa kuwafukuza kazi kikatili Watendaji wa Twitter

    MAREKANI: Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San...
  3. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

    Waungwana, Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na...
  4. JamiiForums Tanzania Yafahamu matangazo feki ya kazi na namna ya kuyaepuka

    Kupata kazi ni lengo linalohitaji jitihada na tahadhari, lakini katika ulimwengu wa leo wa mtandao, kuna hatari ya kukumbana na matangazo ya kazi feki. Kutambua ishara za matangazo haya na kujifunza jinsi ya kuepuka kushawishiwa ni muhimu kwa mafanikio ya kutafuta ajira. Matangazo ya kazi feki...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VETA, Machi 2024

    PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT REF.NO. CAC. 79/126/01/489 2nd March, 2024 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Vocational Education and Training Authority (VETA), Public Service Recruitment Secretariat...
  6. JamiiForums Tanzania Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

    Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    Based on true story: Nakumbuka graduation yangu na washkaji zangu ilikua na mvuto sana pale mlimani city hall mwaka 2017 ,niliona baada ya muda mfupi tu basi ningepata mchongo mzuri na ningevuta usafiri unaosomeka crowm new model within the year(s) JK alitoa hamasa kwa vijana wakapambane na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

    Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

    Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi. Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  11. JamiiForums Tanzania Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi

    Habar wakuu! Natafuta kazi ya ulinzi umri; 28yrs old Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma Uzoefu; 3yrs of experience Napatikana; Kimara-DSM uwezo wa kutumia silaha; rungu,Smg,pump action s/machine gun #niko...
  13. JamiiForums Tanzania Mfanyakazı wa ndani awanywesha mkojo mabosi wake, wamkamata

  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima. Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia. Waziri wa Afya hatujamsikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  16. JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  17. JamiiForums Tanzania Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

    Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4
  18. JamiiForums Tanzania Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Kwema hapo wakuu mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork. Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya). Kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa Msemaji Simba ni kazi kweli unajihami, ghafla unakumbuka huna uwezo unaanza kuomba support

    Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni.. Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…