kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya ushawishi wa Rais Samia imeongezeka maradufu mpaka inatishia uwepo wa upinzani na kutamani asigombee

    Sikutaka kusema haya lakini ni bora niyaseme Sasa ili 2025 baada ya kampeni ndefu ninayokusudia kuifanya inayokwenda kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU kukamilika na matokeo kuonekana ,isije ikatokea watu wakapotoshwa na upotoshaji ukageuka ukweli, Kwa hiyo mada hii inabaki kuwa kumbukumbu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hii kazi ngumu sana

    Hii kazi ngumu sana....
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Graphics Designer

    Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing kama Freelancer kwa zaidi ya Miaka Minne(5) kwenye Maeneo tofauti kama Vile Iringa, Mbeya...
  4. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

    Tayari
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa Chuo cha CATC wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

    Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi. Nasaha hizo zimetolewa Machi 08, 2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC, Aristid Kanje wakati wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani. Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  8. JamiiForums Tanzania Je hii mouse itaweza kufanya kazi kwenye laptop yangu

    Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
  9. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ajira yoyote

    Habarini wadau kwema wote humu, natumaini wote wazima humu Mwenye changamoto yoyote ya kiafya MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA. Niende kwenye mada Moja kwa Moja wadau natafuta kazi ajira yoyote kama naweza kupata ata connection mnaweza kunipa, kazi ni kipimo cha utu, napatikana Musoma kwa wadau wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

    Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Wadau Niliahidi hapa kwenye huu uzi wa Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa kwamba ikitokea nimepata sehemu ya kupiga kazi ningewajuza. Nachukiua nafasi hii kuwafahamisha kwamba nimefanikiwa/bahatika/barikiwa kupata kazi kutokana na connection ya mdau mmoja aliyepitia...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Roberto Olveira: Pacome alinifukuzisha kazi Simba

    Kocha wa zamani wa Club ya Simba Robertihno Olveira, Akizungumza kutoka Brazili, Robertinho alieleza kama alitimuliwa kutokana na matokeo ya mechi yake ya mwisho dhidi ya Yanga basi ubora wa Pacome ulichangia kwa asilimia kubwa kuondoka katika klabu hiyo. Alisema Pacome ni kiungo ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni. Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi. Nimelelewa na kukuzwa kwenye familia ya Wasomi wa kati, wote walikuwa wafanyakazi wa serikalini. Mtazamo wao kuhusu maisha ni kusoma...
  16. JamiiForums Tanzania Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
  17. JamiiForums Tanzania Amesoma clinical medicine/Co anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar

    Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi katika nafasi ya civil engineer, foreman na HSE

    ASANTENI SANA TAYARI TUMESHAPATA WAFANYAKAZI KATIKA NAFASI ZOTE TULIZO TANGAZA
  20. JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…