kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
  2. JamiiForums Mwendazake na kipenga uwanjani, nimekumbuka kauli ya kata miwa badala kupuliza kipenga. Awamu ya mwendazake panahitajika kitabu Cha somo tosha darasan

    Wana ndugu. Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani? Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
  3. JamiiForums Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya mbunge Mwanaisha Mlenge au wametumwa?

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
  4. JamiiForums Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO

    Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana. "COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face...
  5. JamiiForums Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako. Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka? lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika...
  6. M

    JamiiForums Bukoba: Mrejesho ubovu wa stendi ya mabasi; Uamuzi na kauli ya Mbunge

    Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa. Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
  7. JamiiForums Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

    Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real! Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia. Intellect over emotions. Companero 😉😁
  8. N

    JamiiForums Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

    Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi? Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya...
  9. JamiiForums Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

    Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
  10. JamiiForums Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
  11. JamiiForums Kauli ya Waziri wa Utumishi inatia shaka. Madaraja naona yamebebwa na mafuriko

    Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate. Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
  12. JamiiForums Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
  13. JamiiForums Aliyemwelewa Zaka za Kazi wa Azam FC anieleweshe

    " Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani " Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya...
  14. Y

    JamiiForums Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  15. JamiiForums Tujikumbushe kauli za Nape-katibu mwenezi CCM

    Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema, naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya...
  16. JamiiForums Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  17. M

    JamiiForums Kauli hizi Mbili za Injinia Hersi na Mhamasishaji Nugaz zitakusaidia vyema kujua Yanga SC ni Klabu ya aina gani

    Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza "Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na wakiweza wanifanye lolote. GSM tumedhamiria na hatubahatishi na tumeisajilia Yanga SC Wachezaji wakubwa...
  18. JamiiForums Mbunge Luhaga Mpina azidi kutema cheche, sasa ataka Kamati ya PAC imbane CAG

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ametilia shaka ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa namna ilivyoripoti hasara ya sh. bilioni 60 kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kusababisha mkanganyiko mkubwa kwa wananchi. Mpina amesema kwa mujibu wa Taarifa ya CAG inaonesha...
  19. Q

    JamiiForums Kauli ya Rais Samia ‘Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

    Kisiasa Rais Samia Suluhu asingeweza kusema yupo kinyume na mtangulizi wake Magufuli, na hatutegemei aseme hivyo hadharani lkn inawezekana moyoni anawaza tofauti kabisa. Binafsi kinacho matter zaidi ni vitendo. Hivi ni baadhi ya viashiria vya tofauti zao kiutendaji. ———————— Magufuli: Tanzania...
  20. JamiiForums Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…