kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania "Lile jambo letu" ni moja ya kauli ninayoichukia sana

    Habari! Hivi zama hizi ni sahihi kuishi kwa mafumbo na kuuweka ukweli na uwazi pembeni? Tatizo nini hasa? Je, serikali haikujipanga ndani ya mwaka mzima kupiga hesabu ya mapato na matumizi yake ili kuja na jibu kamili kuhusisha MISHAHARA ya watumishi? Je, ni woga wa kuongezeka mfumuko wa...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Dk Slaa: Serikali ianzishe uchunguzi dhidi ya Chadema kabla hawajamalizana wao kwa wao

    Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini UN haikemei kauli na vitendo vya kichokozi vya US na UK kwa Urusi

    Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili iendeleze vita vyake na Urusi kwa niaba yao. Jee UN hawasikii au wanasubiri nini kukemea vitendo hivyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania " Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

    Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah...
  5. JamiiForums Tanzania Iko wapi kauli ya vizuri huwa havidumu?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, Nipo hapa kuwakumbusha kauli inayotawala miongoni mwa watu, VIZURI HUWA HAVIDUMI. Nimelileta kwenu kutokana na mijadala inayoendelea ya kumuattack hayati JPM. Wapo wanaoshangilia mpaka leo kuwa yule kuondoka ni kusudio la Mungu kuwaepusha na balaa...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Raila Odinga ataiharibu Kenya kama Magufuli alivyoharibu Tz

    Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
  7. JamiiForums Tanzania Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

    Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi. Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
  8. B

    JamiiForums Tanzania TCD endapo mtaelewa kauli aliyoitoa George (Mkenya) mtatambua hakuna Tume bila Katiba na hakuna Katiba bila Tume Huru

    George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania. Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mfumuko wa Bei, Viongozi wachunge kauli

    "Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi. Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake. Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  14. JamiiForums Tanzania Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

    Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya. “Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kauli zenye athari hasi za Rais samia

    Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia. Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli hiyo lita 3 ya mafuta ya kula ya sun flower inauzwa 25,000. Box ya ream paper inauzwa 80,000 na...
  16. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
  18. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

    Waungwana, Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela. Muda unatuambia sasa. Awali, hapa JF kulikuwa na hii thread - Kiongozi wa chama haelewani na yule kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…