kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ni Sheria! Hii kauli ilitokea wapi?

    Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria! Leo Waziri Mkuu anaibuka anakazia maneno ya Mh Rais kuwa TRA...
  2. JamiiForums Tanzania Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Habari... mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  5. JamiiForums Tanzania Nini Kauli ya Serikali Kuhusu Makato ya Tozo na Mtandao Kutokufanya Kazi Vizuri

    MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania "Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

    ..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa. ..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
  11. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?

    Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?
  12. JamiiForums Tanzania Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

    Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe. Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
  14. JamiiForums Tanzania Acha makasiriko tafuta hela": kauli inayochochea mmomonyoko wa maadili

    Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa Kauli yake ya Kukafini Maiti Yanga SC kapimweni Akili

    Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Habari Simba Matatani kwa Kauli Chafu

    Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambieni kuhusu kauli yenu ya ‘Mwanaume hata umpe nini haridhiki’. Hiyo ‘nini’ ni kitu gani?

    Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani? Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
  18. JamiiForums Tanzania Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  19. JamiiForums Tanzania Warusi wabadilisha kauli na kusema kamji ka Bakhmut katachukua wiki zingine kadhaa kukateka

    Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Rais Samia, kauli yako kuhusu watumishi wa umma wafujaji naona haipo sawa

    Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu. Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi. Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…