Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Kaone unacheka wakati ndio zenu
Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tunadharau ila mboo zetu tamu😜
 
Nikaachwa, alikuja nitafuta turudiane nikamwambia hatukuzaliwa wote akaanza kulia akiomba msamaha sijui hata nilikosea wapi
Mimi tuligombana hiyo siku nikamuambia "yaan najitahid kushinda vishawishi huko nje, nakuheshimu natulia na wewe nakataa wanaume wengine kwa ajili yako alafu wewe unaniletea mambo meusi" akanijibu "sasa unangoja nini si uende kwa hao wanaume wengine" nikaanza kulia nikajua kishawaka ila alikuja akanisamehe baada ya mvurugano mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom