My Take 1.
Je, tuseme hii ni serikali ya mkono wa chuma na tuanze maombi ya kupata serikali ya awamu ya 7?
My Take 2.
Akitiwa nguvuni mtu mmoja kiajabu-ajabu basi tuungane wote kukemea. Sio kusubiri mpaka yawakute. Watu wa media mmekuwa wanafiki sana.
Nimeona mchoro huu nikajiuliza aliwaza nini kabla ya mdau kutoa ufafanuzi wake, Kama iko vivyo mdau alivyosema basi Kipanya ametukosea Sana watanzania, mtu akifa aachwe afe.
Kusema Samaia anajifunza ya JPM ni kukosea sana hasa ukisema anajifunza mabaya tu.
USSR
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=...
Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana.
Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno fulani, maneno yanyoweza kabisa kubadili sura ya hili tukio iwapo ni ya kweli na kuna uthibitisho wa video...
Yule msanii nguri ameendelea kuonyesha uzareeendo wake kwa watanzania .
Wametuwekea picha inayo waonyesha viongozi wetu wa serikali jjnsi wanavyo jipatia mapato haramu na kuishi maisha ya kifahari.
Tazameni wenyewe hiyo picha ndiyo tutaelewana.
Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila ningependa kuzijua zaidi ambazo si za katuni.
Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani?
Alikuwa rafiki yake Sugu, na nakumbuka alitoa kibao mwanana kinachojulikana kama Kura yangu. Kilikuwa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
Na Hash Power
Kuna msemo mmoja kwamba ukipenda kazi unayoifanya, lazima ufanikiwe maishani mwako! Gene Deitch, ni miongoni mwa mifano inayoishi ya jinsi kujituma, kupenda unachokifanya na kuelekeza nguvu zako kwenye hicho kitu, kunavyoweza kukutoa maishani.
Yawezekana jina la Eugene Merril...
Hello wana Tech wote out there!! Below is a 2D animation i've been working with for sometime! Lakini I RAN INTO MAJOR PROBLEM, software ilicrush violently nlipokua na save project!! The whole project is now destroyed, nimejaribu my best ku recover na nimepata most of it ila hii scene nimepata ni...
Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao
Vitabu vya Watoto
Muandishi
Jina la kitabu
W. Mkufya
Androko na Simba
Ziraili na Zirani
Richard Mabala
Mabala the Farmer
Hawa the Bus Driver
Elieshi Lema
Safari ya Prospa
Mwendo
Parched Earth
Nyamanza Ndege wa Amani
Parched Earth: A Love...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.