Anahitajika mtengenezaji wa video za katuni (animation)

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,403
40,322
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=

Maudhui:

Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi​
 
Uwa tunaajili kwanza, tuna sign mkataba alafu ndio tunatoa kazi!. Mtu awezi vunja masaa yake kutengeneza katuni na kuituma kwa mtu asie mjua!.
 
Habari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=

Maudhui:

Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi​
Wapo ila 250,000 ni ndogo sana.weka mzigo wa maana nikuletee ata watatu.
 
Umeshafeli interview tayari, tatizo sisi waswahili tuna maneno/tararira nyingi kazi hatuwezi
Sijafeli interview wala nini... tusidanganyane hapa..kwa mtu anae jua kazi ya kutengeneza animations ilivyo awezi mfanyia mtu kazi from nowhere.. wewe ndio umekosea recruitment style uliyo tumia.. mimi kama web developer mtu akitaka kuniajili anatakiwa aniombe project niliyo wai fanya, either iwe published au la! Lakini sio aje aniambie nimtengenezee website alafu nimtumie ata simjui .. hakuna kitu kama hicho bro, matapeli ni wengi. Omba watu wakutumie kazi zao ili uhakikishe ubora wao sio kuwapa kazi ..
 
Kwa mazingira haya,wengi watatuma kazi za wengine huku wakithibitisha wamefanya wao wakati si kazi zao; kwa staili yangu hii, ili kuthibitisha ni wewe kweli umefanya; tumia maudhui niliyokuwekea; hatuitaji cheti au ngazi yako ya elimu,bali tunataka kazi tu
 
Ni kampuni changa,itakayokuwa kwa kasi,ambapo ata baada ya miaka 5 kama uzalishaji wake utakuwa mzuri anaweza kuwa anakula mil 5 kwa mwezi
fanya hivi: tukutane au tufanye conference call.Tukikubaliana tutaweza fanya kazi na wewe kwa projects....Tunakubaliana malipo unaleta kazi tunafanya umeikubali unalipa .maisha yanaendelea .Tunasini mkataba kati ya kampuni yako na wewe. unatupa kazi ya kuanzia ukiridhika na product yetu tuandelea mbele.Tunajiamini na tunafanya kazi nzuri tu. moja ya kazi demo from our Student
 
Iko vizuri,mi nahitaji wa kumuajiri ata kama atatakiwa kupata mafunzo zaidi kwa faida ya kampuni itabidi iwe hivyo
 
Back
Top Bottom