katoliki

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

    RC KUNENGE AWAELEKEZA WAKAZI WA KUNDUCHI MTONGANI AMBAO NYUMBA ZAO ZIMEHARIBIWA NA "VOLCANO YA TOPE" LINALOTOKA ARDHINI KUHAMA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewaelekeza baadhi ya Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

    Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Maaskofu Katoliki wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho

    BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania. Aidha, maaskofu hao wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Kanisa moja Katoliki na lile Anglikana kwa kutojiingiza kwenye Siasa za Uchaguzi

    Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla. Nalipongeza sana Kanisa Katoliki na Anglikana kwa kusimama katika nafasi yake nyakati hizi. Na kipekee...
  6. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

    Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua. Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania List ya majina 266 ya Papa wa Kanisa Katoliki na mahali walipozaliwa

    Kanisa katoliki limekuwa na Popes 266 kutoka sehemu mbalimbali duniani, tangu kuasisiwa kwake na kukabidhiwa chini ya uangalizi wa Pope wa kwanza Petro (mtume wa Yesu). Hii ni list ya majina Baba watakatifu na mahali walipozaliwa. 16 from FRANCE: (Pope Sylvester II, Pope Stephen IX, Pope Urban...
  8. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

    Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

    2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein. Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
  11. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri. Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo. Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai

    Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne. Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

    Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge. Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala? Maendeleo hayana vyama!
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, mama Rwakatare atazikwa ndani ya Kanisa kama wanavyozikwa maaskofu wa Kanisa Katoliki?

    Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki. Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasema ndoa zitaendelea kufungishwa ila watahusika Wanandoa na Wasimamizi wanne tu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe. “Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
  18. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania linapaswa kusitisha misa

    Habari wanajamii, Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili. Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi Mpaka sasa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

    Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa. Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa. Baba...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
Back
Top Bottom