Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi,
Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu.
Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
Katika hatua ambayo itawahuzunisha wengi wanaopinga Kanisa Katoliki, wasiolipenda na wanaoliombea mabaya; Mama Kanisa amekataa kutoa baraka kwa miunganiko ya jinsia moja (ushoga) kwa sababu ushoga ni dhambi na Mungu hawezi kubariki dhambi.
===
The Catholic Church does not have the power to...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19
---
Catholic Bishops have now...
Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha.
Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa...
Leo nimepata wasaa wa kuangalia mechi ya Azam na Kagera Sugar. Waliovaa barakoa ni kama hakuna kabisa.
Tumewasikia Kanisa Katoliki na ni wajibu wa kila mtu 'kuchunga abiria wake". TFF himizeni wanaokwenda kuangalia mpira uwanjani wavae barakoa kwa kuanzia na ikiwezekana "social distancing'...
Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa
Pitia video
Britannica
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe.
Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
Ni huzuni
Ni majonzi
Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi
Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba
Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi.
Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya minyukano kati ya kanisa na Luther. Luther alikuwa padre na mtawa wa kanisa katoliki kupitia shirika la...
Baba Mtakatifu Francisco ameridhia ombi la Kung'atuka kutoka madarakani lililowasilishwa na Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro.Awali mwaka 2019 Baba Mtakatifu alimteua Monsinyori Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S kuwa msimamizi wa Kitume wa jimbo hilo akiwa na majukumu ya kufundisha...
Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili.
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu...
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi.
Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi
Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie
Marehemu apate...
Wanaharakati !
kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini!
Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa!
Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu.
Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi?
Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.