katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mkuu Kiongozi Mh Bashiru (Mb) ana mipango ya kutimkia ACT Wazalendo baada ya kukalishwa bech (Kuwekwa kando ya Madaraka) kwa muda mrefu. Inafahamika wazi Katibu Mkuuu mstaafishwa hajarizika kabisa na kitendo (Vitendo) vya serekali ya awamu ya sita ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RC Chalamila kuhamishwa Dar

    Chalamila anaondoka DSM kutokana na kushindwa kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto za jiji hilo kubwa. Mahitaji ya wananchi na maono ya RC Chalamila vimeshindwa kuendana na hivyo mapendekezo yametolewa aondolewe hasa kipindi hiki cha kuomba uungwaji mkono. Hayo yametokea baada ya Kitila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

    "Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo." "Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    "TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Netiboli Ajiuzulu.

    Katibu Mkuu wa Chama cha Netiboli Tanzania ‘CHANETA’ Bi Rose Mkisi amejiuzulu nafasi yake baada ya sakata la kuishutumu Serikali kwa upendeleo. Mkisi alinukuliwa na Redio moja akisema Serikali inapendelea sana mpira wa miguu na kwamba wameisahau michezo mingine ikiwemo Netiboli. Mkisi mbali...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Fitna za Ndumbaro zamuondoa Katibu Mkuu wa CHANETA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote . Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

    UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
  10. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa katibu mkuu wa CWT ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa, education international yatoa tamko

    Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

    Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati kabisa nguvu ya Makonda haitokani na kuwa kwake katibu mwenezi wa CCM, lazima kuna chanzo kingine kinampa kujiamini kiasi hiki

    Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa. Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katibu BAKWATA Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43). Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, KULE KILIMANJARO ni Mlaghai

    Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai. Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile Matokeo yake anapokea fedha za wanaccm na hawasaidii chochote na hana uwezo wa kuwasaidia. Kwenye hizi chaguzi za serikali za...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mwenezi wasiposoma Mwenyekiti wao anataka na kuwaza nini wataishia kuijadili CHADEMA badala ya kusukuma agenda za CCM

    Tumeona namna viongozi wa CCM waivyotofautiana kwenye majukwaa kuhusu maandamano. Finally Chadema wamefanikiwa lengo lao na hivyo yawezekana kabisa kamati Kuu ya chadema ina mikakati mingi isiyo wazi katika kutekeleza siasa na viongozi wake wanasomana. Ukija CCM utaona Mkuu wa Mkoa,, Katibu...
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wakati anavamia na kuteka hatukunyooka, ndio iwe leo kawa Katibu mwenezi? Ni kichekesho!

    Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ? Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
Back
Top Bottom