katiba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais Kijana wala Mzee ila tunahitaji kiongozi atakaye heshimu katiba yetu, shida zetu na kutuheshimu Wapiga Kura

    Nimeona nitoe ya moyoni kuelekea 2025 maana kwa Neema za Mungu tukikuwepo basi ningeomba swala la kutuchagulia vijana lisiwe agenda ila agenda iwe ni kumpata kiongozi mwenye busara na anaye heshimu katiba yetu na sheria zetu. Mvumilivu na mwenye kutambuwa sisi Watanzania ni waugwana hivyo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Rufaa zinatakiwa ziwe zimesikilizwa ndani ya muda gani?

    Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake. Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu? Ni hako kaswali tu kwa uchache...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwani Bunge likibadilisha Katiba na kuondoa ukomo wa Rais kubaki madarakani Uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba. Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi. Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani? Si wananchi ndio watakaoamua? Maendeleo hayana vyama!
  6. J

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao. Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

    Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10. Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba

    Katiba mpya jamani ni ya muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, kwani tunapoelekea ni pabaya kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

    Siasa siyo uadui. Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama. Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu. Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ni mambo yepi ya msingi ya kuzingatia wakati wa kutunga Katiba?

    Habarini za wakati huu waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi kukupa pole ya msiba mzito uliokupata Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Msiba wa kuondokewa na Baba yako kipenzi. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Nikirejea Kwenye mada tajwa kama ilivyo jieleza kwenye kichwa cha uzi huu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  16. JamiiForums Tanzania Nawashukuru ICC-Mahakama ya Kimataifa kwa kunijibu na kunipa mwongozo wa kumshitaki Rais kuvunja Katiba ya Nchi

    ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mambo yahusuyo Muungano kama yalivyotajwa kwenye Katiba

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ibara ya 4(3) imeeleza kuwa kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za umma Katika Jamuhuri ya muungano na kwa ajili ya madaraka juu ya shughuli hizo kutakuwa na mambo ya muungano ambayo yatafanywa kwa ushirikiano kati ya Tanzania bara na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya watakiwa kurudisha fedha zote walizojilipa kama posho ya nyumba kinyume na Katiba

    The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report. The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Sisi CUF tutajikita kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA" Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni. Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
  20. JamiiForums Tanzania Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…