Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi.
Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya.
Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe.
"Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
Habari wanabodi!
Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko.
Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe.
Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa.
Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
Habari Wakuu,
Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya.
Siku hiyo ikifika kila...
Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'.
Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba.
Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani.
Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda mmoja wa watoa mada?
Ni jambo zuri. Katiba mpya ni kitu muhimu kwa mustakabali taifa.
It is long...
Kwa kadri joto la kudai katiba mpya linavyozidi ndivyo ninavyojiuliza maswali mengi sana.
Maswali haya yanatokana na kwamba tulishuhudia jirani zetu Kenya walitunga katiba mpya kwa mbwembwe nyingi sana, kwa kuaminishwa kwamba wamepata muarobaini wa demokrasia.
Hata hivyo muda mfupi baadae...
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa?
Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba?
Mnataka mchakato uendelee kuanzia wapi?
Kama kuna aliyeharibu mchakato achukuliwe hatua gani?
Vipi Raisi aliyeko...
Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti hicho.
Alikua ana uwezo lakini hakufaa. Kwa sababu gani alikua ana uwezo lakini hakufaa Nina sababu...
Mimi ni mdau ambaye natamani katiba mpya lakini sio wakati wake. Kwenye janga la Corona na baada ya kimpoteza Raisi huwezi kudakia katiba mpya maana watu watakuwa wanajadili wakiwa na matatizo mengi sana mengine vichwani.
Ushauri wangu ni kwamba vitu ambavyo wanaweza kufanya bila katiba mpya...
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"
"Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi.
Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya
Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi.
King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters
Thousands of...
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama.
Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba.
Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo.
Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.