Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi.
Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni mbobezi Kama ifuatavyo;
Kwanza, linakosa usimamizi na utetezi wa kisiasa kwa sababu mfumo wa nchi...
Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja kukosa uhalali wa kuwa wabunge.. wengi wao walitegemea Mh Raisi akalikemee Jambo Hilo bungeni...
Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini.
Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone anayotumia katika uwasilishaji wa hoja zake. Kitendo cha kuahidi kufanya maboresho kwenye sera zetu za...
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Rais Samia Suluhu Hassan kwanini aingilie mhimili wa Bunge? Zaidi soma Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli
Leo ni siku ambayo makali ya Samia katika kutetea maslahi ya CCM yameanza kujionesha wazi, wabunge wako huru kujadili chochote...
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge...
Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
Hello jf
Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya)
Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana...
UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu
Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi.
Katiba yetu iko wazi jinsi...
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote.
Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu.
Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya watanzania waendelee kutawaliwa na sisiemu.
Naam inajulikana vizuri kwamba ili kifaranga kiendelee...
WanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa...
Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo.
Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka.
Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.
Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.
Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.
Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki...
Kama kuna kipindi ambacho Katiba yetu imelivusha taifa letu basi ni kipindi hiki cha kuwapata viongozi wetu wakuu wa awamu ya sita. Katiba yetu hii imepata heshima kubwa duniani kote na kuifanya Tanzania iheshimike sana Afrika na duniani kote. Tuwatambue hadharani na kuwapa heshima viongozi wetu...
Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa. Zingatia vilevile kuwa wahafidhina wa muungano wa sasa wa kipekee hawapo, mimi simuoni Mwl. Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.