Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa.
Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa.
Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.
Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.
Kitendo cha...
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20.
OCD asubuhi ya leo...
Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani.
Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
Sina tatizo na suala la kuwa na Katiba mpya, lakini tatizo langu ni kuona watu wakidhani Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo ya kisiasa nchini. Huko ni kupotoka. Nchi kama Marekani wana katiba ya kidemokrasia sana, lakini leo wanalia Trump na kundi lake kufanya mambo kihuni tu na kwa mabavu...
Unajua nyakati zile hata mzee Membe alifukuzwa kibabe zaidi na siyo kwa mujibu wa katiba.
Kwa sasa siyo rahisi kumvua mtu uanachama wake kwa sababu demokrasia imetamalaki ndani ya CCM.
Mtu atavuliwa uanachama kwa mujibu wa vikao "halali" vya chama ndio maana unaona akina komredi Kipepe...
Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika?
Nini maoni yako.
Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.
Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali...
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu taadhari ya covid Hawa waliochanjwa leo walikuwa wafuasi wake ila awakutaka kutoka adharani nakusema kwamba...
Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa.
Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
Wana-CHADEMA,
Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa!
Kwa sababu serikali inasema imemkamata kwa sababu nyingine na wala siyo suala la katiba mpya, kwa nini viongozi...
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo.
Swali langu ni hili, yale maoni ya Tume ya Warioba yaliyopelekwa kwenye Bunge la Katiba...
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania
WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021
Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, Jaji Joseph Warioba ametoa himizo hilo...
Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali.
Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya.
Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana.
Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya...
Wanasiasa wote Duniani muda wote hufikiria madaraka,kwenye madaraka hawana mchezo wanaweza kufanya lolote ili kupata madaraka au kukumbatia madaraka yao.Ni siasa za kuchumia tumbo,wanataka au wanakumbatia madaraka ili yawanufaishe wao,kaya zao au ndugu zao na si vinginenyo.
Wote wanasiasa wa...
Na Mwandishi wetu | 15th July 2014
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo watakaoshiriki katika kikao cha kamati ya Mashauriano kitafachofanyika Julai 24 na 25 mwaka huu, katika...
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
Nimeyasikikiza kwa makini Sana mahojiano maalum, aliyoyafanya mtangazaji mahiri, Salim Kikeke, wa shirika la habari la kimataifa la BBC, akimuhoji Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuhusu masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa letu.
Mimi ningependa kuelezea kile alichokisema Rais wetu kuhusu...
Ni mimi meneja wa makampuni naomba hii maana ikumbukwe vizazi na vizazi ya kwamba.
"Katiba ndio moyo wa taifa"
Shughuli zote zinazofanywa ndani ya nchi zinasukumwa na katiba ambao ndio moyo.
Moyo ukiwa mbovu hushindwa kusukuma damu vizuri mwilini na kupelekea mwili kushindwa kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.