katiba

  1. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

    Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusidai katiba kwanza, tukiipata ndio twende kuandamana Mbowe aachiwe huru?

    Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya tu bali tuipate mapema. Nawashauri viongozi wangu wa chama, hasahasa Mnyika na Lissu waweke...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitashuka kama mana jangwani. Mapito ya Mbowe na CHADEMA ndio njia yenyewe chungu yenye shubiri lakini yenye tija

    Siku zote watawala hawataki kugawana power na wengine wao wangependa kuhodhi power hiyo milele. Mungu fundi akaweka kifo na sisi wanadamu tukajiwekea katiba. Rais aliyepita Magufuli alitufundisha vizuri sana umuhimu wa katiba Bora. Aliwaambia wazi wakurugenzi nikulipe mshahara nikupe gari...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pambalu acha kupotosha watu. Kesi ya Mbowe haina uhusiano na madai ya Katiba Mpya

    Huku ni kupotosha umma. "Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
  5. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nawauliza CCM wenzangu, Katiba mpya ina ubaya gani?

    Kila linapoletwa ubaoni na mezani suala la Katiba mpya, wanaCCM huwa mbele kuvuruga kwa kelele kupiga. Katiba ya sasa ya Tanzania iliandikwa mwaka 1977, takribani miaka 44 iliyopita. Katiba hiyo imeshafanyiwa mabadiliko mbalimbali zaidi ya kumi. Ndiyo kusema bila kuhema kuwa Katiba ya sasa ina...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu za wanaotaka Katiba Mpya Tanzania

    Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania kwamba kunakiukwa katiba ya nchi. Mifano ya uvunjifu wa katiba ni suala la wabunge 19 wa Chadema ambao...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba mpya kiwekwe kipengele cha kupima IQ ya Mgombea Urais na Makamu wake

    Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni. Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
  8. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CCM - Katiba mpya

    Wana bodi, Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa nguvu na vyombo vya usalama ni sahihi. Vile vile katika kupinga au kutaka katiba mpya ni vyema kwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ratiba mpya ya Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi kutolewa agosti 5

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha . Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Serikali imeanza kusambaza Chanjo ya Uviko-19 mikoa yote nchini

    Salaam Wakuu, Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanza mchakato wa kusambaza chanjo ya Uviko katika mikoa mbalimbali nchini, ugawaji wa chanjo hizi utazingatia taarifa za visa mbalimbali vya kuwapo kwa wagonjwa katika maeneo husika. My Take Tujitokezr kuchanja
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Hatua zichukuliwe kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya mapendekezo ya Katiba ya Gavana Edward Twining 1950 (sehemu ya 2)

    Dr. Kyaruzi alikusudia kuandika kitabu kueleza historia ya maisha yake katika siasa za Tanganyika wakati wa ukoloni na kueleza juhudi zake katika kuchangia fikra katika Constitutional Development Committee akishirikiana na Hamza Mwapachu na Dr. Luciano Tsere. Kamati hii yao waliipa jina la...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mbowe aliyeko Mahabusu leo hii, anapigania Katiba ambayo kesho inaweza kuja kuwa msaada kwa wajukuu au vitukuu wako

    Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA). Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba...
  14. Patrick Girigo

    JamiiForums Tanzania Haki ya kila Mtanzania kupata Chanjo ya COVI 19 sawa na Ibara ya 12 na 13 za Katiba yetu ya 1977

    Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya mapendekezo ya Katiba ya Gavana Edward Twining 1950 (Sehemu ya Kwanza)

    HISTORIA YA MAPENDEKEZO YA KATIBA YA GAVANA EDWARD FRANCIS TWINING 1950 (SEHEMU YA KWANZA) Juma Mwapachu mtoto wa Hamza Mwapachu miaka mingi nyuma katika mazungumzo wakati natafiti historia ya TANU aliniambia kuwa katika vitu vyote ambavyo baba yake alikuwa akijivunia katika maisha yake ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Demokrasia kama Msingi wa Maendeleo

    DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia na haki ya kijamii na kwahiyo;(a)...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Ndugu zangu, Siku zinaenda kasi sana === VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA. Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake...
  18. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Bunge, Katiba, Madaraka

    Wasalaam Bunge Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio kama siyo kichekesho!!..hakuna sheria wanazotunga kwaajili ya serikali na wananchi na siyo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Hosea, kauli yako ni ipi kuhusu sakata la Mbowe/uvunjifu wa Katiba na sheria?

    Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea maana naye ni CCM. Lisu umepata la kujifunza angalau kwa hili? Hosea mwoga , mzee, hawezi harakati...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
Back
Top Bottom