Hawa wafanyabiashara ya Madawa ya kulevya, Mafisadi, Wahujumu Uchumi, Wauaji na Watekaji, wanafanya kila njia kuhakikisha katiba mpya haipatikani.
Mara watasema, Katiba mpya si kwaajili ya kugawana vyeo, katiba mpya haituletea chakula nyumbani nk.
Wengine wanasema tupate Muda wa miaka mitatu...
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona...
Kuna watanzania wengi sasa ambao walikuwa watoto mwaka 2011 wakati mchakato wa kuandika Katiba mpya ulipovurugika.
Kabla ya mchakato wa kuandika Katiba haujaanza upya lazima mjue kwanini mchakato huo ulivunjika na katiba mpya haikupatikana.
https://youtu.be/LmjtMCUxRFo?si=enZh8RbNYRXl0zfq
Hii ndio tafsiri sahihi ya ujumbe wa Dk Nchimbi. Kwamba watanzania wapambane ili kupata katiba ambayo ni mali ya wananchi.
Mwaka 1977 baada ya Asp na Tanu kuungana Mwl Nyerere kwa udikteta wake aliunda kamati ya watu 20 ikiongozwa na Thabiti Kombo. Wakatunga hii katiba ya sasa ya mwaka 1977...
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, amepinga mtazamo wa kwamba kupatikana kwa Katiba Mpya ndiyo suluhu pekee ya changamoto zote zinazoikabili nchi.
Akizungumza Julai 28, 2026, katika kipindi cha One on One cha Wasafi Media, Dkt. Rioba...
C&p
Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti
Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
Mchakato wa kupata Katiba Mpya nchini Tanzania unashauriwa kuchukua wastani wa miaka mitatu (2026–2029) ili kutoa nafasi ya kutosha kwa maridhiano ya kisiasa na ushiriki mpana wa wananchi. Kulingana na mapendekezo ya hivi karibuni ya wadau wa demokrasia, serikali, na Tume ya Jaji Chande (2026)...
Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana.
Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao.
Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba...
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.
SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE.
Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na
Bunge (Legislature)
1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
haki
haki za raia
halali
katibakatiba mpya
kauli
kisiasa
kulinda
kusema
kutetea
makamu
makamu wa rais
mazingira
mpya
raia
rais
sana
ugaidi
viashiria
viongozi
watanzania
wote
Hakuna ubishi, wito wa Mh. Makamu wa Rais, Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi, wa kuwahimiza watanzania kupigania katiba mpya, umepata mwitikio na hamasa kubwa kutoka kwa watanzania wote.
Kwa kuzingatia maoni mbalimbali yaliyotolewa, ni wazi kuwa tupo tunaomuona Dr. Nchimbi kama kiongozi wa mfano...
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo.
Nyundo hii ni eye opener.
Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya.
Lakini all in all kasema ukweli mtupu bila ule unafiki wa akina Wasira ambso tumeuzoea.
Kwa upande...
Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi.
Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
Yuda ni yuda haijalishi kama ni yuda wa wakati uleee wa Yesu au wa wakati huu Mama ndio kila kitu.
Barabara ikijengwa ni Mama.
Matundu ya vyoo yakijengwa ni Mama.
Hospital ikijengwa ni Mama.
Hela zote ni Mama.
Sasa huyu Yuda wa Peramiho katokea wapi,anataka kuzika fahari ya Mama.
Deni la taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.