katiba

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama hatufuati Katiba ni kajitabu tu. Ina maana hakuna Raisi, hakuna Polisi wala hakuna nchi wala Serikali

    Kama hatufuati katiba ni kajitabu tu, inamaana hakuna raisi, hakuna polisi wala hakuna nchi wala serikali kila mtu kivyake katiba ndio msingi. Watu wasio na akili waambieni katiba ndio msingi kama haipo inamaana hakuna amiri jeshi wala JWTZ wala nani kila mtu ni kama hayupo tu. sasa inakuwa je...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makame: Kuhusu Katiba, maoni yangu nitayapeleka kwenye chama changu, tukajadiliane

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Medani, Abdullah Makame, kada wa CCM amesema
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ile kauli kusema katiba ni kijitabu kama mkiendelea naye sio 2035 mpaka kufa kwake

    Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys". Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?. Mfano kauli zake: "Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM" "wale walifanya vurugu sio watanzania" "wazazi mgewafungia wanenu yasinge tokea haya" "Nguvu iliyotumika...
  10. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungia mwaka kwenye gazeti la Mwananchi la Leo ikiwa ni makala ya 52 kwa mwaka huu. Hii ni Makala yangu ya mwisho kwa mwaka huu wa 2025, ambapo Jumatano ya leo,ndio siku ya mwisho ya Mwaka huu wa 2025, usiku wa leo,ni mkesha wa mwaka mpya tunauaga mwaka huu wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huko mbeleni hawa lazima waundiwe Court Martial maana Katiba inasema hawatashitakiwa

    Wamejitungia sheria ili wawezenkutenda maovu/dhambi bila kushitakiwa. Likitokea la kutokea hawa lazima waundiwe court Martial ili HAKI ITENDEKE na wala si kuwaonea. 1. Msoga et al 2. CCM mtandao -aione Polepole 3. Supika 4. ...... endelea
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomzunguka wakishauri abadili Katiba aendelee kukalia hicho kiti, sioni kama atapima huo ushauri? bali ataukubali

    Kama yote haya yanatokea kwa ushauri wa wanaomzunguka, basi watu hao wakimshauri abadili katiba, hawezi pinga zaidi ya kukubali hilo wazo na kulifanyia kazi. Hawawezi kuungana kumpiga kwasababu ya ubinafsi wa kupenda vyeo na uogo uliowatawala . Kitu pekee kinachoweza kutuokoa, ni labda...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  18. L

    JamiiForums Tanzania Suala la Katiba mpya lisicheleweshwe

    kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
  19. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mlikataa mabadiliko ya Katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele

    Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za wana CCM tena nyingi kweli kweli wakati mabadiliko ya katiba waliyakataa wenyewe huko bungeni kwa...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
Back
Top Bottom