katiba

  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Katiba Katiba Katiba

    1961 : Wakoloni na Viongozi wachache wa Tanzania 1962: TANU 1964-1965 - Karume + Nyerere 1977 : Watu 20 kwa masaa 3 bungeni 20.... Katiba mpya ????????
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu; hivi katiba mpya ikiandikwa, siasa na sera za majukwaani zitakuwa nini?

    Kule Kenya ili uteke kundi la watu wakuchague mbali na maendeleo na raia kupata mkate wa kila siku lazima utaje ukanda na ukabila ndio ueleweke, utasikia mlima Kenya sijui waluo na wakikuyu na mambo kama hayo Je kwetu sisi itakuwaje? Midomo imezibwa siku nyingi siku ikiachiwa itaongea nini...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mapungufu yetu kama Taifa yalianzia hapa 1984 tulipobadili katiba ya Zanzibar

    MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka 2002. Mwaka 1984 tuliona mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania na Zanzibar,kama leo hatuitaki katiba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita. Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  7. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Leo Unahitaji Nini Kwenye NChi Yako

    Ninachokihitaji kiko sehemu ya Utangulizi wa Katiba ya JMT 1977, Kuna maneno ambayo yamepewa kichwa cha MISINGI YA KATIBA. Yanasomeka kama ifuatavyo. MISINGI YA KATIBA KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka ataka maboresho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano kuimarisha mifumo ya uchaguzi

    Profesa Anna Tibaijuka amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inahitaji kufanyiwa maboresho katika maeneo mbalimbali ili kuimarisha mfumo wa kisiasa na uchaguzi nchini. Profesa Tibaijuka ameyasema hayo leo Ijumaa, Agosti 28, 2026, wakati akizungumza katika Jukwaa la...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia aliyahitaji Mabadiliko kwelikweli, Aipongeza KATIBA 1977 Kumrahisishia Mabadiliko !!.

    Muachieni Nchimbi sasa !!!
  10. insane

    JamiiForums Tanzania Katika mabaliko ya katiba tusisahau hili

    Katika mabadiliko ya katiba tusisahau kuhakikisha kila halmashauri inajetegemea yenyewe hasa katika mapato yake inayokusanya yenyewe. Hii itasaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja. Badala ya kukusanya na kusipeleka serikalini kisha baadae kwenda...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika Mazingira haya haitowezekana tena kuwa na Katiba mpya!!

    Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi. CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana kutokana na mgogoro na tamaa za wanasiasa. Miaka mingi baadaye CCM kupitia Rais Samia ikachukua...
  13. insane

    JamiiForums Tanzania Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

    Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Hakuna Mkenya Anayepaswa Kufa kwa Kukosoa Serikali” - Rais William Ruto Asema Maandamano ya Amani Ni Msingi wa Demokrasia

    Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani. Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

    Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi. Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba. Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu. Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua Aibua Madai ya “Black Site” Hurlingham: Je, Polisi Walikiuka Katiba?

    Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua ameibua madai kuhusu kuwepo kwa kituo cha polisi kisichotangazwa rasmi katika eneo la Hurlingham, Nairobi, alichokiita “Black Site.” Gachagua anadai kituo hicho kilitumika katika operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa gesi ya LPG, ambapo mitungi mingi...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya ya 2010 yatimiza miaka 16: Je, imebadilisha maisha ya Mwananchi wa kawaida?

    Kenya leo inaadhimisha miaka 16 tangu Katiba ya Kenya ya 2010 ilipotangazwa rasmi tarehe 27 Agosti 2010, chini ya uongozi wa Rais wa wakati huo, Mwai Kibaki. Katiba hiyo ilileta mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala nchini, ikilenga kupeleka mamlaka karibu na wananchi, kulinda haki zao na...
Back
Top Bottom