katiba

  1. Mhaya

    Kumbe Zanzibar ina Katiba yao, Msikilize Hussein Mwinyi

  2. Voltaire

    GE2025 Kwa lilitokea Oktoba 2025 naamini hata CCM wamepata madhara kwa katiba kumpa Rais mamlaka yaliyopitiliza

    Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo. Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a kilichotokea! Usimamizi ni kwenye rasilimali za Taifa je? Naamini tunaelekea kuipata katiba ya haki na...
  3. figganigga

    27January 2001, CCM iliekeza Majeshi kuua na kubaka watu Zanzibar waliotaka Katiba Mpya

    Swali kwa CCM, Mtaendelea kutumia Polisi watuue hadi lini? Watu wakilalamikia Uchaguzi tu muunatuma Polisi watubambikize kesi, wakidai katiba mpya tu risasi. Mtatuua hadi lini? Ni mauaji ya sisi kwa sisi yatafika kikomo? Mtu akishavvaa sare yya jeshi anajiona si Mtanzania. Anageuka kuua ndugu...
  4. Genius Man

    Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe ni rais

    Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe unaweza kuwa rais kinyume cha kuchaguliwa na wananchi. Kitendo kilichofanyika ni kujitangaza kuwa ni rais...
  5. 888I

    Katiba Mpya — Dawa ya Mifumo Inayosuasua?

    Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mitaa mingi nchini imejawa na mijadala, midomo na mikono juu — wengine wakiita kilichotokea ni maandamano, wengine wakisema ni vurugu, na wachache wakiona ni kilio cha matumaini kilichopotea. Lakini tukitulia na kuangalia kiundani, pengine yote haya...
  6. Prof_Adventure_guide

    Damu Imenyesha Juu ya Katiba: Watanzania Wameuawa Kwa Kutumia Haki Zao

    Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda. Ni aibu ya...
  7. M

    She started it all, Hakuna hoja ya kuvunja katiba tena.

    Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena, Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi. Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
  8. K

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  9. A

    CCM inazidi kupoteza Fursa ya Kujijenga Upya Kupitia Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo. Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
  10. Genius Man

    GE2025 Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kinyume na Katiba. Jeshi kumpigia saluti ni uasi, yeye sio Rais wetu

    Rais anachaguliwa na sio anajichagua yeye mwenyewe kwa njia za kinyume na katiba jeshi kumpigia saluti ni uasi yeye sio rais wetu ni muhaini.
  11. Sam pizzo

    Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

    Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Huu ni mda muafaka wa kupush katiba mpya

    Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi Kupunguzà madaraka ya Rais Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais Dpp kutokuchaguliwa na Rais...
  13. Kubwjing

    JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  14. Pascal Mayalla

    PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
  15. Dennis Robert Shughuru

    Katiba ya mwaka 1977 ndo ilianzisha uchawa kwa kumpa Rais madaraka makubwa sana

    Katiba ya mwaka 1977 iliasisiwa na Nyerere kwenye ile katiba ambayo mpaka leo tunaitumia imempa Rais madaraka makubwa sana na kumfanya kama Mungu mtu Rais wa Tanzania anaweza fanya almost jambo lolote lile na katiba imemuhakikishia hatastakiwa hata akimalaiza mda wake Uchawa tokea zamani...
  16. Dennis Robert Shughuru

    Serikali ya CCM hawawezi kutupa Katiba Mpya nzuri

    Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
  17. Lord Denning

    JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

    Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania. Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi. Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Mchakato wa katiba mpya ya warioba ilikuwa ni wake up call ila kama wananchi tuli-ignore tukahisi hautuhusu

    Kuanzia mwaka 2010 vuguvugu la katiba mpya liliongezeka maradufu kabla sijaendelea ngoja niongelee jambo flani Mungu kama kuna Jambo baya linakuja mbeleni kuna namna utapewa taarifa ufanye jambo mara nyingi inakuwa anaondoa amani hasa pale unapofikiria jambo flani ukignore madhara utakuja...
  19. tonicimmobility

    GE2025 Biteko: Samia ni msikivu, atawapa Katiba mpya

    "Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
  20. Lord Denning

    GE2025 Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba, na inapokosekana Mifumo thabiti ya kumwajibisha, Jeshi linapaswa kuchukua hatua

    Katiba inatambua haki ya msingi ya uhai na kuishi kwa kila mwananchi. Amiri Jeshi Mkuu anapokiuka Katiba kwa kuruhusu operesheni za Wananchi wanaompinga kutekwa, kupotezwa na kuuwawa huku Taasisi zinazopaswa kumwajibisha zikiwa zimekufa mfano Bunge, Mahakama, Tume ya Haki za Binadamu na Ofisi...
Back
Top Bottom