katiba

  1. Nehemia Kilave

    Nadhani kuna cha kujifunza katika katiba ya Namibia hasa kipengere cha Rais ,Kimekaa kizalendo zaidi

    Habari JF , baada ya kupata taarifa za kicho cha Rais wa Nambia Hage Geingob ,82 kwa masikitiko makubwa nliamua kupitia kipengere cha urais katika katiba yao . Kwa kifupi uchanguzi wa haraka hautafanyika sababu ndani ya Mwaka mmoja kuna uchaguzi mkuu lakini ingekuwa kama ilivyotokea kwa JPM...
  2. Boss la DP World

    Kabla ya Katiba Mpya tupige kura kuhusu hatima ya Muungano

    Kabla ya zoezi la kuandaa katiba mpya halijaanza, nivema tupige kura kuamua hatima ya muungano huu ambao kwa maoni yangu sioni kama una tija. Baada ya kupiga kura ikitokea wananchi wamekataa muungano basi Watanganyika tuendelee na zoezi la kuunda katiba yetu, na wazanzibari watajua wenyewe...
  3. Nyamuma iliyobaki

    Ukiambiwa upunguze jambo au uongeze jambo kwenye katiba yetu utachagua lipi?

    Zote tunajua kuwa katiba yetu inamapungufu mengi. lakini sasa wewe kama mtanzania mzalendo ungepewa nafasi ya kuifanyia marekebisho ungetamani jambo gani jipya liwemo na lipi liondolewe ili Sisi kama Taifa tuwe na katiba nzuri kama nchi zingine. Mimi nikipata nafasi hiyo nafuta tasisi ya kuzuia...
  4. K

    Bila katiba mpya nzuri, wawekezaji watatukimbia!

    Bila katiba nzuri wafanyabiashara ambao mnakaa na kuona katiba haikuhusu unajidanganya kwa sababu hii hapa ya msingi. 1. Kwanza maandamano ya juzi sio kwamba serikali ilipenda bali umma umepata nguvu zaidi na viongozi wa upinzani wako serious sana. 2. Wamesema “watakinukisha” maana yake ni...
  5. Msanii

    Katiba ikiheshimiwa na kulindwa basi Taifa litabaki salama na umoja muda wote. Tujifunze kupitia maandamano ya 24/01/2024

    Niwapongeze CHADEMA kwa kuandaa maandamano haya muhimu. Mimi huwa nadeclare interest mara zote kwamba ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Sijawahi kuwa nje ya chama hiki asilani. Lakini kuna wakati mnauguza mgonjwa na haponi hivyo mnaomba Mungu amtwae kumpunguzia mzigo. Mgonjwa hakimbiwi...
  6. Burkinabe

    Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali. Akitoa mfano wa huyu wa...
  7. GoldDhahabu

    Bishop Profesa Victor: Je, ni haki kubembeleza kupata Katiba Mpya?

    Huyu Askofu ni wa wapi? Ujasiri wake si wa "nchi" hii! Tafadhali mwenye wasifu wake auweke humu.
  8. R

    Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  9. K

    Kama itapendeza uchaguzi usogezwe mbele na Rais apewe muda ili tupate Katiba Mpya

    Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki. Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
  10. Pascal Mayalla

    Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!.

    Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu kuendelea na mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, asilimia 80% ya Watanzania walitaka tuendelee na...
  11. Msanii

    Je Katiba ni mali ya Serikali? Kama sivyo, kwa nini mpaka Rais ndo aruhusu mchakato?

    Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi Rais anapaswa...
  12. Msanii

    Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  13. Suley2019

    Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

    Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar. Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu...
  14. D

    Kwani Rais Samia si aliapa kulinda Katiba? Maandamano ni HAKI ya Kikatiba

    Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli? Jeshi letu mbona liko tofauti na majeshi mengine duniani...
  15. M

    Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji. Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
  16. Pascal Mayalla

    Rais Samia Japo Si Mwanasheria, Lakini Anaijua Katiba ni Sheria Mama Yenye Haki Zote Ndani ya JMT. Je Aruhusu Haki Hizi Ziporwe Tena? Au, Azirejeshe?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kupokea maoni ya sheria mpya ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  17. DR Mambo Jambo

    Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  18. Erythrocyte

    Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
  19. Lord denning

    Ni wakati sasa nafasi za watendaji zipatikane kwa ushindani

    Huu ndo ukweli! Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani. Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio...
  20. Wakili wa shetani

    Katiba iruhusu viongozi kukata makofi wafanyakazi wazembe

    Kuna wafanyakazi wa serikali wanakera sana. Akilini mwao wanawazaga sijui vitu gani. Katiba ingeruhusu viongozi wakuu wawakate makofi pale inapobidi. https://twitter.com/Eric__Bernard/status/1744372317298311559?t=_AB_MwZOw8xzkW9SiNn4Kg&s=19
Back
Top Bottom